pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Kuna vijitabia sikuhiz za wanawake kutokuvaa chupi..
Na wanafeel proud kujulikana kama hawavai chup! Sasa sijaelewa lengo ni nn!??
Leo nimemuona mdada mrembo tu kavaa gaun ndefu ya kubana na anatikisa mata ko hasa..
Nilikuwa nmekaa na mdada mmoja hiv rafiki yangu akaniambia kuwa yule dada hajavaa chup na huwa hapendi chupi..
Mh nikaona kazi ipo.. si ajabu hata hiz mvua zinazonyesha na mafuriko ni adhabu zinatufundisha kitu..
Swali langu!!!
Je ukivaa chupi unakuwa uncomfortable!?
Joto sana!???
Chupi zinachubuaa!???
Hela ya chupi hunaaa!???
Au ni fashion!??
Better usivae chupi upo ndan kwako na mpenz hapo sawa.. hata mm ntakuunga mkono but sio mpaka barabarani..
View attachment 749110
Ts jus a picture..Hapo anaogeleaa unataka avai mchupi wa nn??kwanza huo mpensi wenyewe anakoseaa kuuvaa hapo huyo didah the badest coz bado wa kujaaa ....angekuwaa wa dar hapo ni chupi tu ya kuogeleaa ukitoka hapo unaitupaa upate hewaa
Picha yako....ni matumizi mabaya ya mtandao kutoa picha ya mtu bila ridhaa yake
Eeh bhana eeh !!!rachuKuna vijitabia sikuhiz za wanawake kutokuvaa chupi..