Wanawake wa Dar kila unayemuuliza, yuko single

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
167
Reaction score
50
Wanawake wengi wa mjini wanaongoza kwa kuwa single maana kila mwanamke utakayemuliza kama ameolewa au yuko single atakwambia yuko single.

Dar kazi kwelikweli.
 
Dar hakuna waoaji.. binti akitaka kuolewa mikoani.!. huku mapenzi tu.. na kijana akitaka kuoa mikoani..! ndo alete town.
 
kama weolewa au wanawachumba s waseme tu kweli
 
so yuko free kutongozwa hata kama anamchumba?
 
Ni sawa kabisa kama anabwa tu!!wakuzugia huyo yuko huru maana bado hajafungwa na kiapi cha ndoa!!!
 
so yuko free kutongozwa hata kama anamchumba?

Mchumba si official hata kwny documents za kazini siwezi kumjaza. for sure i cant risk kusema eti nna mchumba labda kama naishi na mtu hapo ntakuambia kua naishi na mtu
 
wanawake wengi wa mjini wanaongoza kwa kuwa single maana kila mwanamke utakayemuliza kama ameolewa au yuko single atakwambia yuko single.

Dar kazi kwelikweli.

we boya kweli hata green light huioni.....!!!!
 
We are all single until we get married,"without a ring on my finger you don't get claimed .."Taraj P henson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…