Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 322
SimjuiUna undugu na mzigua90?!
Simjui
huenda multiple aidiiUna undugu na mzigua90?!
huenda multiple aidii
Vipi kwanihuenda multiple aidii
hamna shidaVipi kwani
Hiyo speed aliyobadilisha nimeipendaUnaona alivyogundua wapi kachemsha amefanya mabadiliko haraka
Unaona alivyogundua wapi kachemsha amefanya mabadiliko haraka
Maelezo tafadhali, ili twende sawa kabla ya kujikita kwenye mada[emoji23]Hiyo speed aliyobadilisha nimeipenda
Maelezo tafadhali, ili twende sawa kabla ya kujikita kwenye mada[emoji23]
Kwan wewe huusiki mkuuNgoja waje
Sihusiki ndioKwan wewe huusiki mkuu
Unachoongea kuna ukweli kiasi chake.Wanaume tamaa zake huanza na kuona kwanza kwa mwanamke inakuwa kusikia .Mwanaume akiona mwanamke mashallaaah kajaliwa na mwenyezimungu MsaHeshima yenu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikiona watu wengi wasomi, maarufu na Wenye pesa wakioa wanawake vimodo yaani kwa Lugha nyngine vimbau mbau
Research hii ni tofauti ukilinganisha na wale wenye maisha ya kawaida au maisha ya chini wale wenye elimu ndogo wanaooa wanawake wenye misambanda kama mnavyoita wenyewe
Unadhani ni kipi haswa kinachopelekea jamii hizi kuwa na wenza wa namna hizi
Karibuni wenye uelewa Mpana wa haya mambo!
Napoint moja tuu hapa kwamba swala la portability, simplicity na activeness.Heshima yenu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikiona watu wengi wasomi, maarufu na Wenye pesa wakioa wanawake vimodo yaani kwa Lugha nyngine vimbau mbau
Research hii ni tofauti ukilinganisha na wale wenye maisha ya kawaida au maisha ya chini wale wenye elimu ndogo wanaooa wanawake wenye misambanda kama mnavyoita wenyewe
Unadhani ni kipi haswa kinachopelekea jamii hizi kuwa na wenza wa namna hizi
Karibuni wenye uelewa Mpana wa haya mambo!
moja ya point kali za mkuu JoseverestKwa sababu sio wasumbufu kama hawa wa misambwandwa..'mizigo' 'chura'..
Wako poa sana hata mimi nawakubali ndio ugonjwa wangu...nitakuja kuwaoa Mungu akijaalia
Hawa wa misambwanda ya haja huwa ni majanga aisee yahitaji moyo kuishi nao mkuu