Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Wanakuja mkuu kufunguka..usicheze mbali..nataka watuelezee kwa nini wanatuonea aibu...
 
Mwanamke akimtongoza mwanaume anaonekana Malaya. Ndio maana wanabaki na mengi moyo.
 
Hilo linawashinda hadi wanaume ujue!! Lakinii sio huofia kuonekana mhuni fulani hivi, sijui kwa nini jamii imejiaminisha hivyo!!
Hivi kweli sakayo nishindwe kukuambia nakuhitaji maishani huyo atakuwa sio mwanaume huyo
 
Unapenda kutongozwa na wanawake inaelekea!!! Sioti kuja mtongoza me km una kizuri cha kusifiwa ntakusifia lkn haimaanishi kwamba ndo umetakwa kimapenzi
Kati yako we na mumeo nani alianza kumpenda mwingine
 
amna nilikuwa namaanisha wakitoa signals na kuona man haelekei ndo wawe na ujasiri wa kutongoza, mwanamke ni kama kitabu ili umsome kama amekukubali unahitaj steps kadhaa na sio wanaume wote wana uwezo huo
Mkuu akijitongozesha tu ujue huyo atakuwa kwaajiri ya kukufurahisha ni sio kufurahia upendo wa pamoja
 
Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.

Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.

Akaaaaaa.
 
 
Yaani unataka mwanamke akutongozee? Kweli wanaume wameisha wavulana mnatuharibia sifa wanaume
Kweli kabisa pia ni ile hali ya kutaka kumfanya mwanamke awe mnyonge kwa sababu hata kakitokea ka ugomvi atakuwa na sababu kibao zikiwemo we si ndio ulinitongoza kwani nilikuwa nakutaka mie na nyingine nyingi.
 
Kweli kabisa pia ni ile hali ya kutaka kumfanya mwanamke awe mnyonge kwa sababu hata kakitokea ka ugomvi atakuwa na sababu kibao zikiwemo we si ndio ulinitongoza kwani nilikuwa nakutaka mie na nyingine nyingi.
Yaani mwanamke wa kujitongozesha siku zote hutumika kama chombo cha starehe

Maana muda wote ataishi kwa kuheshimu na kutii hata yasiyo ya kutii na utakuwa upendo wa upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…