Namba 5 imenikosha sana🧚♀️🧚♀️🧚♀️Kupitia maswahibu yote hayo ni we mwenyewe kujitakia tu.
1. Kitambi hakijifichi, sasa mwenye tambi lake akikutaka na ukakubali hapo kajilaumu mwenyewe unless iwe ndoani maybe mlianza akiwa hana kitambi then mambo yakamnyookea haswaa akajikuta kitambi anacho. Vile venye na'hate kitambi kisichoeleweka mbona mazoezi nitakuwa nakusindikiza mwenyewe.
2. Muhogo wa jang'ombe dk zero anamwaga wachaga mtibie na mazoezi wenyewe wanaita "kegel" naona onaga humu wakifundishana.
3. Wakutwanga kinu mbona wanafundishika hao? Kama kubwa inakuzidia si unamwambia tu afanye slowly na asizamishe lote, mambo ya kuumizana baadaye uanze kutafuna feni ikupepee nani anakubaliana nayo 🙂
4. Hao wachafu koge by appearance tu uwa wanaonekana ni wewe sasa kabla ya yote kukubali/kukataa. Kama ni mchafu ukimpenda mbadilishe asiposikia achana nae maana inataka moyo sana kuishi/kumingle na mtu mchafu.
5. Kibamia is always the best..
Namba 5 imenikosha sana🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!
Acha tu ndugu yangu!! mimi niliambiwa milioni saba #yaani saba milioni..!!! ila wachaga wa Moshi- huru kule kwa diwani daaah waliniweza..!!!
Sasa we nae usiyejua wapi uweke X na wapi uweke S napo ujishaue hapa kwamba unapata kinyaa kuoa kisa mtu mmoja kajisikia kuongea vilivyoko akilini mwake? Shubamit
Pia hao wadada wanaotumika uwa wanajitumia wenyewe kwani? Nyie si ndiyo watumiaji!! Halafu hapa mnajitutumua wenyewe [emoji57]
Cha msingi kila mtu both ME & KE a'maintain standards zake ili aje kupata mtu wa kufanana nae. Period
😅😅😅😉😉😉🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️Nakuona nakuona, team users wa vi' okra 😜
AiseeeKupitia maswahibu yote hayo ni we mwenyewe kujitakia tu.
1. Kitambi hakijifichi, sasa mwenye tambi lake akikutaka na ukakubali hapo kajilaumu mwenyewe unless iwe ndoani maybe mlianza akiwa hana kitambi then mambo yakamnyookea haswaa akajikuta kitambi anacho. Vile venye na'hate kitambi kisichoeleweka mbona mazoezi nitakuwa nakusindikiza mwenyewe.
2. Muhogo wa jang'ombe dk zero anamwaga wachaga mtibie na mazoezi wenyewe wanaita "kegel" naona onaga humu wakifundishana.
3. Wakutwanga kinu mbona wanafundishika hao? Kama kubwa inakuzidia si unamwambia tu afanye slowly na asizamishe lote, mambo ya kuumizana baadaye uanze kutafuna feni ikupepee nani anakubaliana nayo 🙂
4. Hao wachafu koge by appearance tu uwa wanaonekana ni wewe sasa kabla ya yote kukubali/kukataa. Kama ni mchafu ukimpenda mbadilishe asiposikia achana nae maana inataka moyo sana kuishi/kumingle na mtu mchafu.
5. Kibamia is always the best..
Teh teh! Si unajua vile uwa kinani'drive crayz? We mpishi hodari eti, ila naogopa kufunguka sana bwana manyaku wasije kukuvamia huko PM 😅😅Aiseee
Kumbe mi nina kibamia baby
Funguka fungukaaaaaTeh teh! Si unajua vile uwa kinani'drive crayz? We mpishi hodari eti, ila naogopa kufunguka sana bwana manyaku wasije kukuvamia huko PM 😅😅
Funguka fungukaaaaa
Au hadi nikununulie ginga ale ndo ufungukee?Hebu kwenda huko 😆
Hahahha!!Mwanaume kamili unatoa, kama alivyosema remi ongala kipenda roho [emoji3]
Tatizo sio pesa. Tatizo ni "quality for money"Kwetu mahari ni ngamia 100 au money equivalent