Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Yaani Hapa natafuta lugh nzuri na maneno mazuri..... Kuomba pesa siwezi Acha. Naweza nikachelewa kuanza kuomba lakini Naamini kupewa pesa Ni wajibu wa mwanaume kwangu
Mwanamke sharti alegezwe kwa noti za hapa na pale.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cha ajabu mnalilia haki sawa.
Mkuu..Mimi simfuasi wa wahaki sawa..Mimi naamini mwanaume yupo juu yaangu..Wala Hilo sinampango wa kubishana nalo..

Mwanaume KWANGU Ni Kama mfalme hivi[emoji3][emoji3][emoji3] anadeserve kuwa treated as such
 
POINT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…