Wanawake tu

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,472
Wamama oyee...

Jamani kukumbushana mara moja moja sio mbaya kuna katabia kabovu kweli kweli wamama tumekuwa nako mdada umeolewa fresh na mumeo..umejikuta mumeo kila siku analeta mboga ya maharage nyumbani kwako..ya nini kumpigia makelele kisa analeta mboga hyo hyo

Hebu ifike jaman mahali wanawake tuache midomo.. .midomo yetu inawafanya waume wetu wawe mbali basi wajitenge watubague😊😊 wawe bize na la liga😊 jitahidi sana mwanamke mwenzangu kuziba mdomo Mumeo anakupa maharage kila siku chomoka nenda kwa jirani tafuna nyama ,vimshikaki.kabeji,dagaa,sweetpie futa mdomo wako na tishu rudi ndani kimya....! angalia sana.

umekula nyama kwa jirani ww unaturudia nyumbani na toosipiki ili iwaje kwa mfano! chokonoa nyama kwenye meno yako hakikisha umerudi nyumban kwako hunukii nyama..upo smart... unataka kumuonesha nani kuwa umekula mishikak yenye ajinamoto😏😏😏!jirekebishe mwanamke mwenzangu.. acha vichambo kwa mumeo.acha gubu bibi wee..!fanya maisha yawe mepesi😊😊😊!


...mjumbe hauawi..

#2020twende na MEMBE
#2020 tunatakaSerikaliYaUmojaWaKitaifa😛!


..nb!ntashangaa mwanaume ukitokwa povu hapa labda uwe unavuja😏😏😏!


cc
demi
MOTHER Confessor
 
Hahahaaaaa

Ila si bora kuongea kuliko kufumwa kwa jirani?

Kuna wanaume wamezoea wake zao vinanda, ukikaa kimya anaanza kukuchokonoa ilimradi tu akusikilize!!!
😂😂 kwan unaenda kudoea mishikak akiwepo?hornet ww unaniangusha..ametoka nipa wosia mama wa kichaga hapa nimecchekaa amesema wachaga wanfundishwa hvyo..don shout mamaa,dont blame😊
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom