Natafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika hili wala kukosolewa.
Nawasilisha
Natafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika hili wala kukosolewa
Sasa mimi huwa nacheat na watu wanaojiweza kimfuko
je una salio la kutosha siyo masharti kibao kisha mpunga huna
by the way unatakiwa unihonge zaidi ya huyu niliyenae je utaweza ?
Sasa mimi huwa nacheat na watu wanaojiweza kimfuko
je una salio la kutosha siyo masharti kibao kisha mpunga huna
by the way unatakiwa unihonge zaidi ya huyu niliyenae je utaweza ?