Na usitegemee hata sikumoja kwamba atakiri , hata umkamate na ushahidi kias gani lakini still atakataa.Ni ukweli, hivi unajua unaweza ukawa ushahidi lakini umesingiziwa? Aisee mie sikuhukumu mpaka nipate kauli yako
Ki mtindo imekaa poa,Ni kweli, na hili jingine nathibitisha pia.... View attachment 417783
sijaelewa, unaamaanisha kuwa mwanamke anaweza kuckia jambo fulan ila asichukue maamuz hapohapo mpaka alifanyie uchunguz naathibishe ndio afanye maamuz au ndio aropoke? au nimekuelewa cvyo?
swadakta mkuu tupo pamoja mimi c mwanamke ila nakubaliana nawewe kwasababu tunaishi nao naninayaona hayo
- Analisikia.
- Analifuatilia.
- Anapata ushahidi.
- Anasubiri ukiri au ukanushe.
Ndo mana hatusubiri mkiri.Ndo maana tunaogopa kukiri aisee
Rudisha ile avatar
Najua huwezi kunisaliti bae wa mieNashukuru sana kwa kuniamini
Yote unayo skia hata si kweli
Ahsnte kwa kuniamini mae wanguNajua huwezi kunisaliti bae wa mie
Usijali bae mimi na wewe tenaaAhsnte kwa kuniamini mae wangu