Mimi napenda mana inakufanya ujue kama ni mwongo au la.
Kuna wakati unajua ukweli wote ila raha yake akuthibitishie mwenyewe na pale ndo huwa unagundua mtu wako ni mwongo kiasi gani.
Kuna wanaume hata ajue unajua alichokifanya bado atabisha mpaka mwisho.
Hawa ni kiboko aisee