wanawake siyo.

Unaweza kukuta mwanamke alikuwa mshamba ata kutumia lotion ajui kafundishwa jeuri ya kuishi mjini ,nae anakuwa mjanja zaidi mshauri jamaa achape lapa ,wanawake wako wengi kitaa wanatafta wa kuwaoa amwache agange njaa akome na jeuri yake.
 
Unaweza kukuta mwanamke alikuwa mshamba ata kutumia lotion ajui kafundishwa jeuri ya kuishi mjini ,nae anakuwa mjanja zaidi mshauri jamaa achape lapa ,wanawake wako wengi kitaa wanatafta wa kuwaoa amwache agange njaa akome na jeuri yake.

sawa mkuu ntamfkshia kaujumbe haka demu mwnyw mtu wa nzega kasomea huko primary to A-level klchomleta bongo ni chuo so alikuwa mporipori tu.
 
NAKUHESHIMU SANAAAAAAAAAAAA! Jiangalie!!!!!

Nimekuheshimu nimekuja kuchangia thread yako then UNANITUKANA?????? KAMA NITACHANGIA CHOCHOTE UTACHOANZISHA MAISHAAAA YAKO!!!!!!

siihitaji michango uharo kama yako maana hailengi kumuelimisha na kumtia moyo mwenye tatzo zaidi ya dhihaka uspochangia ww stapungukiwa na kitu wapo wengi humu watatoa mawazo yao yakinifu na makini kabsa sio uharo wako,endelea kutumiwa tu bt jua HIV AND DEATH vipo.
 
Kila nikikusoma kiongozi naona ni kama wewe vile " samahani lakini "

ok amini vyovyote vile kwani hata kama nikiwa mimi tatzo nn? Kuna ubaya wa kwetu? Bt in realy si mimi kama utadai ni mimi fresh tu mkuu tunahtaj mawazo yako kaka.
 

sawa mkuu wa kaya tamwambia bt alsema leo anatimka.
 
Kuna usemi unasema "UKITAKA KUJUA UZURI/UBAYA WA BINADAMU YEYOTE MPE PESA" amini usiamini pesa inatoa sura ya binadamu yeyote iliyojificha mfano, uchoyo, ushirikina, husuda, upendo, heshima etc.....huyu mwenzetu amepata pesa ameonyesha tabia zake za asili.....Ushauri mwambie jamaa asiangalie wema aliomfanyia kwani maudhi yanaweza kuujeruhi moyo wake ila achukue virago vyake kwani hapo sio kwake akatafute maisha mbele na aache kulialia hayo ni mambo madogo ila kwa kutokuwa na kipato cha kutosha anawaza pakufikia......Pia inawezekana huyo msichana anaogopa kuukaribisha umasikini kwani jamaa haonyeshi juhudi za dhati za kutafuta kazi.
 
ume generalise sana ki ukweli,kuhusu wanawake,na kama umeona hawafai hamna haja ya kushauriwa

mnisamehe wakubwa maana jamaa yangu amesonononeka sana jana usku nami nlshkwa na hasira kali na mpaka mda simuamini hata mchumba wng nliyenae smuamini tena.
 

nisamehe bure kwahlo kama nimekukwaza wa kwetu.
 
Na mama yako ni miongoni mwa wanawake wasio na akili? Kama rafiki yako ana mawazo kama yako basi huyo bint ana sababu ya kufanya alilofanya. Kichwa chako hakiko sawa kajifunze adabu kwanza.

lelo libore.
 
Mlokole asiyejua hata akina Samson,Adam,Mfalme Daudi waliponzwa na nani?Awe makini na kama anaona vipi amwage tu sio ndugu yake huyo!Na hata akimuoa anategemea mabadiliko?Hiyo ndio tabia yake huyo mwanamke na amshukuru mungu kwa kumuonyesha mapema!sasa chumba na sebule na hiyo kazi ni hivyo,wakijenga si atamuua?
Huwa undani wa mtu utaujua akipata hela!
 
hii issue inakuhusu hakuna cha jamaa wala nini.. tafuta hela demu atarudi mwenyewe kwenye mstari... mwanaume hela sio ndevu!

ni vzuri maana unaonekana ni mpga ramli sana mpaka unadai ni mimi ok si mbaya hata kama nikiwa mimi tunahtaj mchango wako kaka,tambua pesa haitafutwi sababu ya mwanamke acha kufkili kchovu ina maana we unatafuta pesa ksa mwanamke? LITENG'O LINU LILOLE.
 

mawazo mazuri mkubwa na maswali changamoto hayo good.
 

aaah hahahaaaa sawa bana nisamehe bure kwa hlo.
 
women have needs while man have responsibilities
 
tuliza akili uiandike kwa upya hiyo thread kama unataka ushauri,kwa ulivyoiandika kushauriwa itakuwa kazi
 
hapo pia umeongelea upande mmoja tu wa binti,hata huyo friend wako atakuwa kabadilika
 
Hapo Ni Kuchapa lapa, akiendekeza Upendwa atakuta siku demu kamuua aisee,..wanawake ni wa four sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…