Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata;
Mwanamke: khe kulikoni baba
Mwanaume: kumetokea ajali kazini
Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie
Mwanaume: ofisi imeungua moto
Mwanamke: imekuwaje ukapona
Mwanaume: nilikuwa chooni nakamua haja kubwa ndomaana maafa hayajanikuta na nilivyorudi nikakuta wenzangu wamekufa lkn management ya ofisi imetoa mil.45 kwa waliofiwa km pole
Mwanamke: dah ona sasa kunya kunya kwako kumetukosesha mailioni hayo