Wanawake Saudi waanza kupata mwanga, Tanzania tunaanza kutafuta giza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Saudi waanza kupata mwanga, Tanzania tunaanza kutafuta giza

Discussion in 'International Forum' started by Bongolander, Dec 7, 2010.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Hii ndio athari ya sharia law, inayompa mwanaume uwezo wa kumiliki wanawake.Soma kidogo hii ukitaka kusoma zaidi nenda kwenye link hapo chini.

  Saudi women sue male guardians who stop marriage


  By MAGGIE MICHAEL, Associated Press – Sun Nov 28, 12:02 am ET

  CAIRO – Year after year, the 42-year-old Saudi surgeon remains single, against her will. Her father keeps turning down marriage proposals, and her hefty salary keeps going directly to his bank account.
  The surgeon in the holy city of Medina knows her father, also her male guardian, is violating Islamic law by forcibly keeping her single, a practice known as "adhl." So she has sued him in court, with questionable success.

  Adhl cases reflect the many challenges facing single women in Saudi Arabia. But what has changed is that more women are now coming forward with their cases to the media and the law. Dozens of women have challenged their guardians in court over adhl, and one has even set up a Facebook group for victims of the practice.

  The backlash comes as Saudi Arabia has just secured a seat on the governing board of the new United Nation Women's Rights Council - a move many activists have decried because of the desert kingdom's poor record on treatment of women. Saudi feminist Wajeha al-Hawaidar describes male guardianship as "a form of slavery."

  "A Saudi woman can't even buy a phone without the guardian's permission," said al-Hawaidar, who has been banned from writing or appearing on Saudi television networks because of her vocal support of women's rights. "This law deals with women as juveniles who can't be in charge of themselves at the same time it gives all powers to men.

  "http://news.yahoo.com/s/ap/20101128/ap_on_re_mi_ea/ml_saudi_women_s_rights_2
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  What has it got to do with Sharia law? Soma vizuri post uliyoibandika, hata mwandishi anasema "Medina knows her father, also her male guardian, is violating Islamic law" sasa vipi wewe unasema ndio athari ya Sharia law? Unanishangaza sana.
   
 3. r

  rmb JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mdau hapo naona umeamua kwa makusudi kabisa kupotosha jamii siamini kama hujaelewa maana kiingereza kilichotumika hapo ni chepesi kabisa! Tuacheni huu udini jamani hautufikishi popote
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu naona nimejidokeza vibaya, lakini naomba usuchukulike kama ni udini, labda ningesema napneda hii ionekane kwa mtizamo wa equality na fairness to women. I hope utanisamehe. Lakini uzuri ni kwamba haijatokea kwetu, ingawa na sisi hapa kwetu tuna ya kwetu.
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ok mkuu i got it, my apologies. Lakini what i got is that he misuded the law which makes him superior, i was thinking that the law he violated which makes him think he is superior, is itself a fault.
   
 6. r

  rmb JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  tupo pamoja, hapo tunaenda sawa
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mbona baba haja misuse the law, he violated it.

  Ni sawa na Tanzania ambapo kina baba wanaozesha watoto wao wakiwa chini ya umri unaoruhusiwa kisheria. Huwa hawaja misuse law, ila wame violate law.

  Wanaume kuwakandamiza wanawake iko katika sehemu nyingi sana za dunia na hii inatokana na tamaduni zaidi za sehemu husika kuliko dini au sheria za nchi.

  India, Nchi zinazoendelea za Asia, Bara Arabu, na bila ya shaka Afrika unyanyasaji wa wanawake unaendelea kwa kasi kubwa licha ya sheria za nchi zilizopo

  Juzi tumesikia kuna wasichana elfu kadhaa wanaenda kukeketwa Mara huko, wasichana wanaozuiliwa kwenda shule Tanzania hii ni wengi mno, na wanaoozeshwa bila ya ridhaa yao hata hawana idadi.

  Kinachonisikitisha ni tabia tulojijengea ya 'kuridhika' tukiona kuwa jamii nyengine pia inaendeleza unyanyasaji wa mwanamke na kudhani kuwa tunayoyafanya 'si lolote' hivyo kuendelea kubweteka.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona unatuchanganya? Unasema "he thinks" halafu he "violated the law", sasa kama mtu kavunja sheria kwa nini uisulubu sharia? Na usimsulubu yeye?

  Napenda ufahamu kuwa, uIslam umempa haki mwanamke miaka 1432 nyuma ambazo kwa dini zingine ni juzi juzi tu wameanza kuzipata. Masikini, wanawake wa dini zisizo za kiIslam hata majina wakiolewa wanabidi wabadilishe na watumie ya waume zao. Totally lose of identity. Hata nasaba yake mwanamke ambae si wa kiIslam inaishia anapoolewa tu. Sasa huo kama si udhalilishaji ni nini? KiIslam, mwanamke ana haki kuanzia hiyo ya basic kabisa ya kumiliki jina (identity) yake toka anazaliwa mpaka anaolewa mpaka anakufa. Kwa wenzetu hata hii haki ya msingi hawana seuse zingine.
   
 9. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kama anamini SANA dini basi afuate kwa kila analoambiwa lakini kama siyo basi aponde maisha bila kujari dini na baba anataka nini. hivyo ni suala tu la uwelekeo gani anataka kufuata
   
Loading...