Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Nawasalimu,

Husika na kichwa hapo juu.

Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii.

Unakuta mtu akiona wasanii wa nje na yeye anataka avae kule kwao Mavusha. Pia wamekuwa wakiiga nguo za wasanii wanazovaa bila kujua nguo na mazingira.

Sio kila nguo ni ya kuvaliwa ukiwa kama binti au mwanadada unaejielewa. Sasa kumekuja kamtindo fulani ka vitaiti na li fulana likubwa kwa juu.

Utakuta mrembo anatembeza vipaja nje alafu kwa akili zake anaona amedamshi.

Hizi "Fashoni" zinawapele kapeleka tu.


Dtila.

1666087712920.png
 
Nawasalimu,

Husika na kichwa hapo juu...

Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi.

Kama mjuavyo fashion za mavazi nyingi zinazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii.

Unakuta mtu akiona wasanii wa nje na yeye anataka avae kule kwao Mavusha.

Pia wamekuwa wakiiga nguo za wasanii wanazovaa bila kujua nguo na mazingira.

Sio kila nguo ni ya kuvaliwa ukiwa kama binti au mwanadada unaejielewa.

Sasa kumekuja kastaili fulani ka vitaiti na li fulana likubwa kwa juu..

Utakuta mrembo anatembeza vipaja nje alafu kwa akili zake anaona amedamshi.

Hizi fashoni zinawapelekapeleka tu...


Dtila
Tunashukuru kwa taarifa

Waache wavae bana acha unoko
 
Ndio vazi langu pendwa
Kwanza unakuwa very komfotabo
Kitight na shati/fulana kuuubwa,chini raba fulani hivi kaliiiiii

Jaribu utanishukuru badae
Kila nguo vazi lina mahala pake,hujakatazwa kuvaa jee vazi unalo vaa linakujengea heshima kwa wakubwa na wadogo zako wanao kuona.

KUNA TOFAUTI NDOGO SANA AMBAYO TUNAWEZA TUSIIONE NA KUITAMBUA KATI YA KUWA NA ELIMU NA KUELIMIKA.

UNAWEZA KUWA NA ELIMU LAKINI UKAWA HUJAELIMIKA, KUELIMIKA KWA KUTUMIA ELIMU BASI UNAWEZA KUELEMISHA JAMII HUSIKA KUTOKANA NA ELIMU ULIYO NAYO.

MATENDO MACHAFU/MAOVU YANA TOKEA KILA SIKU,MFANO NI MATENDO HATARISHI YA UBAKAJI,KUENEA MAGONJWA YA ZINAA,KUFIFISHA UFAHAMU NA UELEWA{akili kudumaa},KUONGEZEKA KWA KUNDI LA VIJANA TEGEMEZI KUTOKANA NA HAYA MAVAZI YANAYO PELEKEA KUNDI OVU KUFANYA UASHERATI HII HUPELEKEA KUTENGENEZA VIZAZI MASIKINI HUKO MBELE.

MASIKINI NI NANI
MASIKINI NI KIUMBE MWENYE UWEZO MKUBWA SANA WA KUPATA CHANGAMOTO, MATATIZO{magonjwa,njaa,kukosa kazi,kukosa kipato,kukosa mavazi,akili kudumaa, afya ya akili} NA ASIWEZE KUYATATUA IPASAVYO.
 
Ndio vazi langu pendwa
Kwanza unakuwa very komfotabo
Kitight na shati/fulana kuuubwa,chini raba fulani hivi kaliiiiii

Jaribu utanishukuru badae
Na mnavyopendeza sasa na kijana wa hovyo hapa wifi enu nampigilia hivyo vi-tight bhaaas muda wote mikono inapiga royo tuwa kwa wowo.

Ila acha mleta uzi achukie labda hajabarikiwa
 
Back
Top Bottom