tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Usijisikie vibaya mama, huwa tunafanya pia, ndio maana nikasema ifanyike kwa tahadhari kubwa. Tunaweza kufanyiana kwenye foleni au mwendo mdogo au parking. High way majanga. Hope Unielewa mama.Wanaume hua hawafanyi manjonjo?ni wanawake only?haya tumekusikia
Hahahahahaha. Duuuh umenichekesha sana.Hiyo hali kirangi inaitwa kididimankanga.Nyege mshindo .Ni vyema kusubiri kwani ukiwa una drive sio muda mzuri wa kumshtua Abdalla kichwa ndogo kwani atasababisha kichwa kikubwa kishindwe kufanya kazi.
Mkuu,begginers katika maana ipi? Maana kunaHii si kawaida kwa waliooana..just for beginners.
Mie nawafanyiaga hayo michepuko yangu wapya kwenye mapenziMkuu,begginers katika maana ipi? Maana kuna
Begginers kwenye mchepuko lakini wana ndoa zao na pia begginers kwenye mahusiano mapya lakini walishakuwa kwenye mahusiano. Vilevile beginners kwa maana ya bikira wa kike na Kiume.
Kumbuka wote hao ni beginners na wanafanyiana manjonjo.
Ipi hapo?
Mie nawafanyiaga hayo michepuko yangu wapya kwenye mapenzi
Don't mention his highest name for no reason. .... that's a sin. I've been taught that since Sunday school.Nawe una michepuko?
Jesus take the wheel..!!
Unaanzaje kumtomasa tomasa mwenzako mkiwa safarini kwani hamtafika huko muendako?
Yote ulosema ni kweli mabinti wafuate huo ushauri. Ila sterling =steering.Si vibaya kwa Binti kumgusa gusa bwana wake wawapo kwenye Private ndinga (Gari binafsi). Ni jambo lisilozuilika, lakini lisipofanywa kwa tahadhari, laweza kuwa chanzo cha ajali.
Unakuta Gari iko highway, spidi ya juu. Taratiiiibu mchuchu/bitotoz unakugusagusa miguu, Mara mkono Mara shingo Mara mabega, Mara unakuinamia in the name of love a.k.a mahaba. Ghafla mzuka unakupanda unapoteza umakini kwenye sterling.
Ukimzuia anaona unamdis, ukimruhusu ndio hivyo tena roho mkononi. Ni sheedar.
Ladies please nawaomba mpunguze manjonjo hasa tukiwa behind the sterling. Japo tunayahitaji vilevile.