Wanawake player tabia zao ni hizi,
Wanapenda kucheat na siku zote awawezi ku date na mwanaume moja kwa muda moja.
Official ni liars, ila ukweli ni kwamba awapendi wanaume kuwacheat.
Wanapenda kujirusha, wanaweka codes kwenye simu zao.
Wanajua kirahisi nini mwanaume unapenda na ndio wanacheza na udhaifu wako kumbaini mwenendo wake unatakiwa kuwa muelewa sana.
Wanakuita jina katikati ya tendo kujifanya kama anaumia, kumbe usanii tu. Ni wanawake ambao ni masex addicts.
Stuka!!!!