Wanawake nyinyi ni shida

Duh! yaani weye ulimpenda ila ndoa imempenda zaidi? hayo maneno huwa yanaumiza sanaaa kwani alieachwa coz mwenzio alijiandaa kukutema pole ndg ndo Changamoto za mahusiano
 
kwa nini baada ya kuachwa ndiyo utuletee mbona uzuri wake umeuweka kapuni.? huoni kama wewe ndiyo shida ? na nampa heko kwa kukuacha hukuwa na maana

hahahaha shida iko wap sasa bt hujui kuhusu hayo that's why unaongea hvy upo ryt DOLE
 

naogopa wake za watu aiseeeeee
 
Duh! yaani weye ulimpenda ila ndoa imempenda zaidi? hayo maneno huwa yanaumiza sanaaa kwani alieachwa coz mwenzio alijiandaa kukutema pole ndg ndo Changamoto za mahusiano

hahahahaha yamepitaaaaaaaa
 
Nyie bado mnapendana usijali, haitabaki kuwa historia wewe na yeye, akishaolewa tu, na wewe unamuoa ndoa ya mkeka zen maisha yanaendelea jiandae tu kama hujajenga jenga kabisa usijekosa mahala pa kumuweka kiwiziwizi

zinaa tusiikaribie
 
Hicho kinaitwa kibuti kuntu, yaani mtu anakuua huku anakuchekea.
Usijali ipo siku atarudi kwako huku anatembelea magoti na kukuomba umrudie.
Kama vp tafuta mwingine au msubili aachike uje umuoe, mana watu kama hao waga hawadumu kwenye ndoa zao.

Kinaitwa cha mbavu a.k.a,..kibuti sufuria.
 
naogopa wake za watu aiseeeeee

Usijali unahitaji mafunzo tuu ukiwa unamtaka ipo cause naitoa 'i vigilante' na pakti za maziwa zipo stand by utaona ni kazi rahisi kama kujitupa kwenye ganda la ndizi tuu hawa wake za watu wanahitaji technique withn a plan tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…