Wanawake nyinyi ni shida

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Samahani kwa hili najua itakuuma tena sana ila sina jinsi (jina)) itanibidi nikwambie unajua ni kiasi gani nakupenda na sitamani nikukose hata kidogo.

Ila sina jinsi itabaki tu kuwa historia mimi na wewe (jina) nimekubali kuolewa please naomba unisamehe (jina) pengine sikuwa ridhiki yako nakutakia maisha mema still nitaendelea kukupenda.

Mungu akujaalie mke mwema inshaalah
 
Hicho kinaitwa kibuti kuntu, yaani mtu anakuua huku anakuchekea.
Usijali ipo siku atarudi kwako huku anatembelea magoti na kukuomba umrudie.
Kama vp tafuta mwingine au msubili aachike uje umuoe, mana watu kama hao waga hawadumu kwenye ndoa zao.
 
Inteprtating the post " unajua ni kiasi gani nakupenda na ctamani nikukose hata kidogo" kuna upendo wa dhati hapoo.?" ntaendelea kkpenda mungu akujaalie mke mwema inshaalah" soo yupo ready kuisaliti ndoa aliyomo koz ya Past relationship..! Sasa hii ni shida na ndo chanzo cha michepuko huru
 
ucjali we si ulimpenda bt hukumuoa,utaendelea kumgonga akiwa kwa mumewe
 
Sector ngumu hii....nikionaga vitu kama ivi najiuliza may be i have poor experiance...what is love by then??what is marriage by then??
 
Nyie bado mnapendana usijali, haitabaki kuwa historia wewe na yeye, akishaolewa tu, na wewe unamuoa ndoa ya mkeka zen maisha yanaendelea jiandae tu kama hujajenga jenga kabisa usijekosa mahala pa kumuweka kiwiziwizi
 
Maisha ya mapenzi yanatakiwa watu wawili kuwa makini sana inapotokea mmoja kutokuwa makini na mwenzake hayo hutokea so chukulia pouwa.
 
kwa nini baada ya kuachwa ndiyo utuletee mbona uzuri wake umeuweka kapuni.? huoni kama wewe ndiyo shida ? na nampa heko kwa kukuacha hukuwa na maana
 
Hicho kinaitwa kibuti kuntu, yaani mtu anakuua huku anakuchekea.
Usijali ipo siku atarudi kwako huku anatembelea magoti na kukuomba umrudie.
Kama vp tafuta mwingine au msubili aachike uje umuoe, mana watu kama hao waga hawadumu kwenye ndoa zao.

Hahahaaaa!! Hizi dua jamani zote zingekuwa zinasikilizwa mbona balaa!! Km amemuacha lazima kuna sababu, wanaume wengine wakiwa kwenye mahusiano wanajisahau sn, na wanahisi wao ndio alfa na omega, ss km hana tija namganda tu wa nn?? Nachapa lapa maisha yanaendelea anabaki na dua zake za kuku.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…