Wanawake njooni hapa !

mmmmm

wanaume wa sikuizi wasafi asee tena wanaendea kwenye kutukumbusha tuwe wasafi

ukikutana na waivo ujue huyo yupo kikazi zaidi.

hata vijijini wasafi balaa.

sio wale wa enzi zile mkuu.
 
Nilikuwa napita ila uzalendo umenishinda! Asithubutu mwanamke kugusa makalio yangu....
 
Nilikuwa napita ila uzalendo umenishinda! Asithubutu mwanamke kugusa makalio yangu....
 
Bila samahani.....ila najua unajua jinsia yangu. Labda swali limelenga kibangara gani!
Mkuu nimeona wamaitwa wanawake tu ila wanaume tumeparamia huku ikabidi nianze kuhoji
 

Nimesoma vipengele vyote lakini hivi viwili vimenipa utata. Ngoja niyapeleke kaunta leo tukayajadili na wanaume wenzangu.

Samahani kwa kuingilia uzi wenu, nlikuwa napiga chabo nikajikuta nimetamani niliyoyaona kwenye kicthen party yenu
 
na wale ambao wanaishi tofauti kila mtu kivyake utaenda sa ngapi kufua hizo nguo cjui mataulo.. Kama mume sawa ila cyo mpz.
 
Unafikir wenyewe Hawapendi kutuona nyuma yao?

Nitaachaje kufuata harufu wakati hadi babu Asprin yupo huku sasa
Hahahahaa.... ukiona mwanaume anacheza mbali na wanawake ujue huyo si rizki...
 
Dah....sasa huyo mke au dobi? Samahani lakini[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…