Wanawake: Nini kinachopelekea kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Hellow wadau,

Nimekuwa nikijiuliza swali hilo kwa muda mrefu, naombeni wadada wa humu JF, na wenye ujuzi katika hili swala wanijuze. Nawasilisha

Hihihihihihih - bora sisi wapemba - huwa hatuli - bali tunaonja tu.
 
Katika ulimwengu uliojaa laana na kupoteza hekima na maadili waliyowekewa na muumba hayo mambo si ya kushangaa wala kujiuliza mara mbili....ni mambo ambayo wanayafanya tena kwa utashi wao bila kulazimishwa....kwa kufuata na kuongozwa na matamanio ya viungo vyetu vya uzazi...wanadamu tumejikuta tukitoka nje ya Baraka za MUNGU....Matendo yetu machafu yaliyojaa kila aina ya laana yanatuweka mbali na Baraka za MUNGU....Mambo ambayo ni chukizo kwa anayetupa pumzi tumeyafanya kuwa ni sehemu za maisha yetu....tunayafanya maovu huku tukifurahia na kwa gharama kubwa sana...Hakuna anayejali wala mwenye kutilia shaka mwenendo wa mwenzie kwani wote ni vipofu angali wanaona....daima kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie na wote watatumbukia shimoni....Mabalaa tunayokumbana nayo wanadamu wa nyakati hizi ni dalili tosha kuwa maovu tuliyoyafanya au tunayoyafanya kuwa ni sehemu ya maisha yetu yameanza kumchosha muumba....Wanadamu hawajui kuwa muumba wao mwenye upendo na huruma anapowakataza kulifanya jambo huwa hakatazi kwa kuwakomoa bali lina madhara kwao...miongoni mwetu hakuna asiyejua madhala ya mtu anayeingiliwa kinyume na maumbile,..miongoni mwetu hakuna asiyejua madhara ya kuzini....sidhani kama kuna mwanajamii asiyejua madhara ya ulevi kwani yapo wazi kabisa.....lakini tunajikuta tunayatenda haya yote kwa kwa sababu kwa makusudi kabisa tumeamua kutotumia AKILI zetu na tukaamua kutenda kwa kuongozwa na hisia kuliko uhalisia.....Tendo la kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile ni tendo lisiliopatana na akili kama mtu ataamua kutumia fikra kabla ya kutenda tendo hilo la laana...lakini kwa kutumia mihemko ya viungo vya uzazi tunajikuta hatuna tena uoga wa kutenda hilo tendo la laana...Leo hii wanadamu wanasifiana kwa kutumia mali nyingi kutenda zinaa badala kuwasaidia wasio nacho....Leo hii wanadamu wanatumia ghalama kubwa kuzindua aina mpya ya kilevi huku wakiwaacha wanadamu wenzao wa upande mwingine wa dunia wakifa kama kumbi kumbi kwa njaa....Leo wanadamu wanaona fahari kuonyesha nyeti zao hata mbele ya kadamnasi kwa sababu ya mali....Wengine kwa kuhararisha uovu chini mpaka wanadiriki kumkana muumba......wanadiliki kusema kuwa hakuna aliyeumba ulimwengu bali ulitokea tokea tu wenyewe...ni uchizi ulioje huu...inawezekana vipi moyo wa mwanadamu unaosukuma damu ndani ya mwili ukatokea tokea tu....inawezekana vipi UBONGO wa mwanadamu ambao ndio kiungo tata zaidi kwa mujibu wa wanasayansi kikatokea tokea tu....kama watu wanawaza hivi wanashindwaje kutenda matendo ya kinyama ikiwa ndani yao hawana hofu ya MUNGU.....Kama watu wanawaza kuwa jicho lake linalomwezesha kusoma na kutazama mandhali za kuvutia juu ya mgongo wa dunia atashindwaje kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile.....ikiwa wanawake wanafikri kuwa kutoa mimba ni haki yao ya msingi watashndwaje kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.....TIME WILL TELL

bila shak utakuwa shigongo;gazet lot hil la nin summarize mambo bn
 
ujue baadhi ya wanaume ni kama nyani " ukicheka naye mabua ndo mavuno yako" tena afadhali uwe umeotesha mahindi but kama ni maharage hata mabua huoni.

kiufupi mwanaume anayeomba tigo

1. anakudharau sana( hata kama ni mmeo)
2. hajali utu wako kwa maradhi wala kwa lolote
3. anakuona wew ni zaidi ya wale machangudoa
4. ashakuchoka amekuonyesha matendo hujitambui hvyo anataka afungue kona zote hewa ipite freeeely hata uaibike labda utashtuka.

5. yaannnn cjui nisemeje baaas tu.

ushauri: mwanaume akikuomba tigo ujue hapo hupendwi unajing'ang'aniza kimbia kama umeona FFU na mabomu ya machozi

Kwa hiyo wewe huwezi kutoa hiyo makitu?
 
Wanafunzi wengi wamejawa na curiousity wengi wanapenda jaribu. Ni ngumu kwa yeye kuanzisha ila anakuwa na michezo hiyo
 
Back
Top Bottom