Wanawake ni wengi lakini...


noma sanaaa umetisha mkuu
 

Kuna kaukweli Mkuu !!
 

...nimekusoma mkuu lakini kumbuka pia kuwa watoto wa kike uwai sana kujiusisha na mapenzi tofaiti na watoto wa kiume na hao wanawake wazee unaosema nao siku hizi wamekuwa wakijiingiza katika mahusiana ya kimapenzi na vijana wadogo...
 
Wanawake n weng vipi bana wakati mm nimeweka tangazo sijampat mpaka leo..wananipm tueze ngombe inawezekana kweli jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…