Wanawake ni wengi lakini...

Wanawake ni wengi lakini...

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
2,166
Reaction score
1,248
Habari waungwana

Kwa sensa/tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwa msisitizo zaidi inasemekana kwamba "hata kama wanaume wote kila mmoja akaamua kuoa wanawake wawili bado kuna wanawake watakosa wanaume(partner)".Lakini cha kushangaza sasa,huku mtaani tunakoishi hakuna mwanamke hasiyekuwa na mwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya mmoja.Wataalam ya hesabu za uwiaona naomba mniongezee maarifa,je inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner) hadi kulazimika kwenda kununua papuchi?.
 
wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.
 
hahahaaaaa kwani wananunua hizo papuchi kwa wanaume wenzao au? Hao ndo partners wao!
 
uuuuuupsi elewa sigle people wapo....
wenye wanaume zaid ya tano wapo....
wenye wanawake zaid ya saba wapo....
wanaonunua papuchi while wameoa wapo.....
wanaotafuta wanaume na hawapati wapo......
wanaopigwa vibuti men kila uchwao wapo....

uwiano....uwiano...uwiano....utapata jibu kweli?????
amin wanawake ni weng zaid ya wanaume yatosha
 
wanawake tupo wa chache ila wenye jinsia ya kike ndio wengi. hivyo hivyo na wanaume.

...dah!...wewe unazidi kunichanganya...ufafanuzi tafadhali(mwanamke asiyekuwa na jinsia ya kike hausiki katika mada hii)...
 
i feel sorry 4 a man who buys papuchi, play with their heads.. u'll get a lot of papuchi mpaka uzikimbie
 
Habari waungwana

Kwa sensa/tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwa msisitizo zaidi inasemekana kwamba "hata kama wanaume wote kila mmoja akaamua kuoa wanawake wawili bado kuna wanawake watakosa wanaume(partner)".Lakini cha kushangaza sasa,huku mtaani tunakoishi hakuna mwanamke hasiyekuwa na mwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya mmoja.Wataalam ya hesabu za uwiaona naomba mniongezee maarifa,je inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner) hadi kulazimika kwenda kununua papuchi?.

mkuu!!! unazungumzia wanawake ua wanaofanana na wanawake siku hz hakuna wa kwako peke yako hata daladala linapakia na kushusha ndivyo tulivyo DIGITAL!!! :typing:
 
uuuuuupsi elewa sigle people wapo....
wenye wanaume zaid ya tano wapo....
wenye wanawake zaid ya saba wapo....
wanaonunua papuchi while wameoa wapo.....
wanaotafuta wanaume na hawapati wapo......
wanaopigwa vibuti men kila uchwao wapo....

uwiano....uwiano...uwiano....utapata jibu kweli?????
amin wanawake ni weng zaid ya wanaume yatosha

...majibu nilazima yapatikane coz atuwezi kuendelea kuamini ya kuwa wanawake ni wengi wakati akina Mushi wanajitwanga risasi...chemsha bongo mkuu...
 
Habari waungwana

Kwa sensa/tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwa msisitizo zaidi inasemekana kwamba "hata kama wanaume wote kila mmoja akaamua kuoa wanawake wawili bado kuna wanawake watakosa wanaume(partner)".Lakini cha kushangaza sasa,huku mtaani tunakoishi hakuna mwanamke hasiyekuwa na mwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya mmoja.Wataalam ya hesabu za uwiaona naomba mniongezee maarifa,je inawezekana vipi kila mnamke kuwa na mwanaume(partner) wakati wao ni wengi zaidi ya wanaume? na baadhi ya wanaume kukosa kabisa wanawake(partner) hadi kulazimika kwenda kununua papuchi?.

dats a simple math, wanavosema wanawake ni weng huwa wanajumuisha wanawake wote kwa ujumla watoto, vijana na wazee, so inawezekana idadi kubwa ya wanawake ni watoto na wazee ndo inafanya waonekane wengi ila vijana wanawake ni wachache na kumbuka vijana wanawake wanasakwa na vijana wanaume na wanaume wazee hivyo automatically kwenye mahitaji ya kimapenz wanawake ni wachache kuliko wanaume
 
uuuuuupsi elewa sigle people wapo....
wenye wanaume zaid ya tano wapo....
wenye wanawake zaid ya saba wapo....
wanaonunua papuchi while wameoa wapo.....
wanaotafuta wanaume na hawapati wapo......
wanaopigwa vibuti men kila uchwao wapo....

uwiano....uwiano...uwiano....utapata jibu kweli?????
amin wanawake ni weng zaid ya wanaume yatosha

ki mathematics zaid!
 
dats a simple math, wanavosema wanawake ni weng huwa wanajumuisha wanawake wote kwa ujumla watoto, vijana na wazee, so inawezekana idadi kubwa ya wanawake ni watoto na wazee ndo inafanya waonekane wengi ila vijana wanawake ni wachache na kumbuka vijana wanawake wanasakwa na vijana wanaume na wanaume wazee hivyo automatically kwenye mahitaji ya kimapenz wanawake ni wachache kuliko wanaume
Kama ni paper umefaulu, imenikumbusha historia ya form two (SCRAMBLE FOR AFRICA) kwa case hii itakuwa ni SCRAMBLE FOR WOMEN hivyo mwenye nguvu ndio mshindi pia ikumbukwe kwamba kila anaetokewa na mwanaume lazima atasema ana mtu ili ku-avoid kusumbuliwa hivyo kama una moyo mdogo utakuwa unajiona una mkosi kwa kukosa demu huku kila demu ana mtu. Jamaa akomae tu kwani kuambiwa ana mtu sio justification kwamba kila mwanamke ana mwanamume wakati mwingine amekuona hueleweki hivyo anakufumba
 
Haka ka mada kanafanana na kamada kingine kilichokuwepo hapa siku chache zilizopita

Ila sio mbaya kwa wengine ambao hawakubahatika kukaona

Sababu hapa JF mada ni nyingi mno, baadhi ya mada zinaweza kukupita
 
Kupata uwiano itakuwa ngumu maana mwanamke kwa mara ya kwanza ukimtokea atakuambia ana mtu tena wengine wanakwenda mbali zaidi wanakuambia yupo Uingereza, na kwa upande wa wanaume wengi hujifanya yupo single ili kama mrembo akilegea anatokewa akigegedwa tu anaingia mitini. FINDINGS zako hapa usipokuwa makini utaona wanawake wengi wana watu wao kumbe kuna ambao wapo single ila anakupimia kwanza kuona speed yako ikoje na wanaume wengi wapo single kumbe kuna mabazazi mengine tayari yanamilki mademu 6 wanajifanya single waendelee kuongeza idadi(kwa mtindo huu hasa kwa sie waafrika kupata uwiano itakuwa ngumu mkuu hasa ukizingatia takwimu unazozunguumzia ni za jumla hazijataja age maana kuna age ya haya mambo ukute takwimu ulizoangalia zimejumlisha mpaka wale ambao hawana uwezo wa kufanya sex)
 
mkuu!!! unazungumzia wanawake ua wanaofanana na wanawake siku hz hakuna wa kwako peke yako hata daladala linapakia na kushusha ndivyo tulivyo DIGITAL!!! :typing:

...mimi nazungumzi WANAWAKE...suaala la "siku hizi hakuna wa kwako peke yako" hiyo ni issue ya kitabia zaidi...kinachonitatiza mimi ni uwiano wa kimahesabu kati ya wanaume na wanawake...mfano una ndoo ya maji ya lita 20 na pembeni una chupa tupu 45(kila moja inauwezo wa kubeba lita moja),kwa hesabu za haraka ukiyamimina hayo maji(lita20) kwenye hizo chupa tupu 45 inamaana kwamba maji yote yataingia kwenye chupa 20 na chupa 25 zitabakia tupu(inamaana kwamba maji yamekuwa machache ukilinganisha na idadi ya chupa)...tukirudi kwenye maada hapo juu,kutokana na mfano huo tuchukulie ya kamba mwanaume ndo maji na mwanamke ndo chupa,jibu lingekuwa raisi wanawake wagewatosha wanaume(maji) hadi wengine wangebaki(chupa)...lakini tukirudi kwenye uhalisia huku mitaani inaonekana wanawake ni wachache tofauti na
sensa/tafiti zinavyoonesha...swali lina baki "kama wanawake ni wengi kuliko wanaume ni kwa vipi karibu kila mwanamke anamwanaume(partner) na wengine wanawanaume zaidi ya moja?",na wakati huo kuna baadhi ya wanaume hawana wanawake hadi inawalazim kwenda kununua papuchi?.
 
Back
Top Bottom