Mungu aliumba wanawake na wanaume tuishi pamoja kwa kumjua, kumpenda, kumwabudu na mwisho tufike kwakeninguni.
Binadamu tunatengeneza majanga yanayoharibu mpango huu wa Mungu. Majanga kama vita, na biashara ya utumwa vimeharibu uwiano wa wanawake na wanaume.
Wengi wanafahamu kashfa za wanaume na wanaume kufanya mapenzi zilianza siku nyingi jeshini. Hata Alexander The Great inasadadikika alikuwa na mpenzi na mpenzi wake wa kiume aliye kuwa na nguvu sana katika utawala wake na alijua siri nyingi.
Utumwa ulisababisha vijiji vingi kuwa na wanawake na watoto bila wanaume.
Baada ya WWII ulaya walianzisha single parent benefits ili kusaidia wanawake waliofiwa na waume zao vitani. Jamii ilianza kuona nyumba kulekewa na mwanamke ni kitu cha kawaida.
Wanawake walianza tabia za kusagana wakiwa wanaliwazana baadavya waume zao kufia vitani.