iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
kuzurula ni muhimu ni sehemu ya mazoezi. anyway kwa niaba yao naomba niseme ahsante kwa kutuheshimu
Basi mke wangu nitakuwa namtembeza sana huwa namhurumia kila muda kwa kuona alivyo na hali tu nashukuru kwa ushauri
ataendaje shamba wakati na hali kama hii utakuwa ukatili sasa
ataendaje shamba wakati na hali kama hii utakuwa ukatili sasa
kuna mama nilikua naongea nae kutoka kijij fulani,anasema alipatia uchungu shambani na wiki mbili baada ya kujifungua shughuli za shamba zinaendelea..
Ndio twapaswa kuwaheshimu on the ground that if it were not our moms, you n i would'nt have existed in this earth. Think how they brought us up, fed us, brought to school just to make sure we have good life as now. We always have their supports in our life.Sio kweli kusema tuwaheshimu wanawake wote. Vipi hao wanaotoa mimba na wanaowatupa vichanga kwenye mifuko ya plasti na kuwadump kwenye dustbin? Juzi lilitokea UDOM can we go on respecting all women?