duh . . . ., nachangia ila niko usingizini.
Kwanza naomba nikubaliane na msemaji hapo juu Godfather kuwa uzuri uko katika jicho la mwonaji.
Weupe peke yake hautoshi kuwa kigezo cha uzuri, ni item moja tu.
Nadhani uzuri ni mkusanyiko wa items tofauti zilizokaa pamoja na mpangilio wake kuvutia mtazamaji.
ndio maana kuna watu wazuri sana weupe kwa weusi.
Unaweza kuwa mzuri wa vitu vingi, ila macho yaparaganyika na kufanya usivutie kiviile, kadhalika rangi.
Nikiacha siasa na kusema black/white, wanawake weupe wazuri kwa kutizama, ila weusi wanajoto zaidi la kupikia.
Wanamme weupe sina hakika sana, ila nao wazuri kwa kuuzia sura, ila weusi hawana harufu kali.