Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Kuna wanaume hamjielewi kabisa sio kila unayemuona katika dating application anahitaji ngono !! No ...wengine tupo kwa ajili ya kuchati na marafiki zetu
....HALAFU NIKUSAIDIE SASA HIVI HAKUNA MWANAMKE ALIYE RAHISI KAMA UNAVYODHANI
Halafu sio razima ndio maana mnatukanwa na kublack list hamjielewi hivyo visent vyenu tumia kumtumia mama yako !![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dah!Chakushangaza sijafunga mlango..
Mi nna bahati ya kupata wazungu ila sasa tatizo nikiwatajia Utaifa wangu kuwa natokea Tanzania wananiblock sijuwi kwa nini.
Kuna wanaume hamjielewi kabisa sio kila unayemuona katika dating application anahitaji ngono !! No ...wengine tupo kwa ajili ya kuchati na marafiki zetu
....HALAFU NIKUSAIDIE SASA HIVI HAKUNA MWANAMKE ALIYE RAHISI KAMA UNAVYODHANI
Halafu sio razima ndio maana mnatukanwa na kublack list hamjielewi hivyo visent vyenu tumia kumtumia mama yako !![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kabisa mkuu 100k et 1 hrHuko unapomuelekeza aende ni kwa wauza papuchi ..
Papuchi inauzwa laki nadhani zitakuwa zimechanganywa malimao,mdalasini,giligilani,king'asti au zinakuja mbili kwenye package
...au duka la spare anaulizia sukari.Acha ushamba wewe dating app ndani kakuambia ni za marafiki wa kuchati. Ninyi ndio wale mnaenda bar mnaagiza maziwa fresh[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mukimuchamba bila ya kumupa elimu si atabaki mulemule.Eti kuchat
Kupata vichekesho kama hivo unatuma meseji kwenda namba ipi??
[emoji16][emoji16][emoji3] hatarkabisa mkuu 100k et 1 hr
aisee mkuu huna link zenye watoto wakali kwa bei chee sasa ao wengine eti 100k kwa 1 hour s usenge uo[emoji16][emoji16][emoji3] hatar
Hahaha...au duka la spare anaulizia sukari.
aisee mkuu huna link zenye watoto wakali kwa bei chee sasa ao wengine eti 100k kwa 1 hour s usenge uo
๐๐๐๐sawa mkuuHapana aisee sina