Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
AiseeJitu limeji-subscribe kwenye dating app na kuweka picha zake kibao humo lakini cha ajabu ukilitongoza linakuwa likali kama pilipili ya kihindi.
Mnajua maana ya dating app? Mnaingia kwenye hizo app kutafuta nini.
Nyambaff
Jitu limeji-subscribe kwenye dating app na kuweka picha zake kibao humo lakini cha ajabu ukilitongoza linakuwa likali kama pilipili ya kihindi.
Mnajua maana ya dating app? Mnaingia kwenye hizo app kutafuta nini.
Nyambaff
Kijana punguza jaziba, huna bahatiJitu limeji-subscribe kwenye dating app na kuweka picha zake kibao humo lakini cha ajabu ukilitongoza linakuwa likali kama pilipili ya kihindi.
Mnajua maana ya dating app? Mnaingia kwenye hizo app kutafuta nini.
Nyambaff
itakua Badoo hiyo
Hawajui vizuri, yule mwambie tu. Kuna 20K hapa nataka voda na tigoSasa mademu wa badoo si makahaba tu.. Jamaa atakuwa hajaweka dau vizuri
www.exotictanzania.comJitu limeji-subscribe kwenye dating app na kuweka picha zake kibao humo lakini cha ajabu ukilitongoza linakuwa likali kama pilipili ya kihindi.
Mnajua maana ya dating app? Mnaingia kwenye hizo app kutafuta nini.
Nyambaff
Huko unapomuelekeza aende ni kwa wauza papuchi ..
Papuchi inauzwa laki nadhani zitakuwa zimechanganywa malimao,mdalasini,giligilani,king'asti au zinakuja mbili kwenye package