Wanawake na uhuni

Mleta uzi nadhani upo sahihi ktk kile unacho kikemea but usisahau hata uhuni wa tabia ya kutotulia na mwanaume mmoja hii pia imekuwa ugonjwa wa taifa. Wasichana kwa wanawake wamewaka tamaa kupenda kusiko na thaman,
 
Mleta uzi nadhani upo sahihi ktk kile unacho kikemea but usisahau hata uhuni wa tabia ya kutotulia na mwanaume mmoja hii pia imekuwa ugonjwa wa taifa. Wasichana kwa wanawake wamewaka tamaa kupenda kusiko na thaman,
Wavulana na wanaume wanatulia na mwanamke mmoja???
 
Asee kuna mmoja nilikutana naye kituo cha basi amevaa skin jeans imeambana mpaka umbile la camel toe (labia majora) inaonekana..! Na kwa jinsi alivyobarikiwa lile eneo limevimba mpaka utadhani ameficha kitumbua..!
Sema mie naona poa tu..! Wavae tu maana ni burudani kuangalia neema za Allah!
 
Mkuu je hawa makabila jamii ya kimasai wanaoishi nyikani wanaacha matiti wazi wenyewe unawaweka kundi gani mkuu?
Unaweza kuthibitisha kwa picha hao wamasai wanaoacha matiti wazi?
 
Wanawake tu ndo wahuni na wanaovaa milegezo mpk boxer znaonekana hao tunawaitaje?
 
mkitaka hayo mambo yenu ya hovyo hovyo kuingilia haki za watu na uhuru wao uondoeni watu wajue sio mnautoa kwa mkono mmoja huku mkono mwingine unapokonya
 
Nichukue nafasi hii kulipongeza jeshi kwa kutii na kuchukua hatua za haraka dhidi ya uvunjwaji wa maadili unaendelea hapa nchini.nimefarijika sana na endeleeni hivo hivo.zawadi yenu inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…