Wanawake na tamaa zao

Wanawake na tamaa zao

Somo zuri lakini wanawake Gold digger hawawezi kukuelewa coz biashara yao ni kuuza miili yao,wengi utawajua tu kwa comment zao za kupenda pesa kuliko utu,yani mimi nikigundua mwanamke amenipendea pesa zangu nitamfuna tu kwa mda nakumpiga chini Ndoa kwangu Asahau!
na kuwajua ni vigumu mkuu utashtuka mwishoni mbona wanawake wana sura nying sn wanapritend mno
 
Asante ujumbe umewapa
In every successful man behind there is a women... Sasa wao wanataka wamkute mtu kafanikia wanadhan Yuko single never
 
na kuwajua ni vigumu mkuu utashtuka mwishoni mbona wanawake wana sura nying sn wanapritend mno
Mkuu,kwangu mwanamke Hawezi Ku pretend Mda Mrefu,nitamjua tu. Mapema. Kama ni. Fake!.
 
Back
Top Bottom