Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Sasa ulikuja kumuacha baadae??Mkuu hawa viumbe waajabu sana..mimi kuna mmoja umenibidi tu niwe mpole mana nimefanya kila visa ili tuachane lakini wapi..kama majaribio ya kujiua kafanya si chini ya mara tatu.
Ila nilichokuja kugundua huyu mwanamke alikosa hitaji lake maalum hasa pale kati..mana yeye niwa dsm mimi wa mkoani huku kwa wasukuma..kweli alikua nampa ile kitu roho inapenda mpaka alidata balaa.
ushauri:wanaume wa dsm punguzeni chips yai wanawake zenu wanatusumbua sisi wa mikoani baada ya kuwakonga nyoyo zao kwa michapo ya maana.
Ikawaje mkuu...Mlifikia wapi??Aisee hii iliwahi nitokea mpaka nikaomba ushauri humu jf kwa mara ya kwanza. Lakini mwisho wa siku huwa tu ni geresha ili usimwache kwani anakuwa yuko so desperate ila kwako moyo unakuwa unataka kubadilisha gia angani!!!!
Yaani hao nao! Mi nafikiriaga eti nijiue kisa mwanaume! Kwa nianza tu kujiua akati sijui naelekea wapi huko nnapoenda... Afu nikifikiriaga nyama tu nashinda ata kuimagine kuziacha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa watu kujiua(kunywa sumu ya panya,mavidonge au kujichoma kisu n.k). Na wengine wanakua wako serious usipomtuliza ndo basi tena keshapotea. Hivi hii kitu inakuaje?? Kwani ni lazima kulazimisha penzi?? Kwani ulizaliwa na huyo mwanaume?? Kuna maisha baada ya kuachana, haka katabia ka kutishia kujiua mimi sikapendi kabisa,yani nikisikia tu mtu ananiambia hivyo nawaza mara mbili mbili kabla ya kufanya tukio.
mkuu siko tayari kuisaidia polisi..bado nakula vyangu ingawa anajua kabisa yeye ni mchepuko tu.Sasa ulikuja kumuacha baadae??
Bora wewe unajielewa..Washauri wenzakoYaani hao nao! Mi nafikiriaga eti nijiue kisa mwanaume! Kwa nianza tu kujiua akati sijui naelekea wapi huko nnapoenda... Afu nikifikiriaga nyama tu nashinda ata kuimagine kuziacha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa kama anajua hilo basi hapo poa.. Unajilia nyama na bia kwa raha zakomkuu siko tayari kuisaidia polisi..bado nakula vyangu ingawa anajua kabisa yeye ni mchepuko tu.
Wasukuma kwa sifa tu mmebarikiwaMkuu hawa viumbe waajabu sana..mimi kuna mmoja umenibidi tu niwe mpole mana nimefanya kila visa ili tuachane lakini wapi..kama majaribio ya kujiua kafanya si chini ya mara tatu.
Ila nilichokuja kugundua huyu mwanamke alikosa hitaji lake maalum hasa pale kati..mana yeye niwa dsm mimi wa mkoani huku kwa wasukuma..kweli alikua nampa ile kitu roho inapenda mpaka alidata balaa.
ushauri:wanaume wa dsm punguzeni chips yai wanawake zenu wanatusumbua sisi wa mikoani baada ya kuwakonga nyoyo zao kwa michapo ya maana.
Tena usiombe akawa na jina la suzy...hawa huwa wanajinyonga kabisaNajua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa watu kujiua(kunywa sumu ya panya,mavidonge au kujichoma kisu n.k). Na wengine wanakua wako serious usipomtuliza ndo basi tena keshapotea. Hivi hii kitu inakuaje?? Kwani ni lazima kulazimisha penzi?? Kwani ulizaliwa na huyo mwanaume?? Kuna maisha baada ya kuachana, haka katabia ka kutishia kujiua mimi sikapendi kabisa,yani nikisikia tu mtu ananiambia hivyo nawaza mara mbili mbili kabla ya kufanya tukio.