moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,928 Nov 17, 2018 #1 Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba ipi......?sekunde tano nyingi akajibu fasta baby jamani nitumie kwenye namba hii ya tigo.sitakagi ujinga mimi nikamuuliza tena jina nan baby??.fasta tu akajibu nasra jumanikamwambia baby tayari umeiona hiyo helaakajibu mbona hamna bbaby jamani nikamwambia sipendagi ujinga mimi nilitaka kujua tu kama kweli sms zako ziliisha kweli akajibu fyuuuu lione kwanza*_
Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba ipi......?sekunde tano nyingi akajibu fasta baby jamani nitumie kwenye namba hii ya tigo.sitakagi ujinga mimi nikamuuliza tena jina nan baby??.fasta tu akajibu nasra jumanikamwambia baby tayari umeiona hiyo helaakajibu mbona hamna bbaby jamani nikamwambia sipendagi ujinga mimi nilitaka kujua tu kama kweli sms zako ziliisha kweli akajibu fyuuuu lione kwanza*_
Van pebles JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,547 Reaction score 5,929 Nov 17, 2018 #2 Fresh
Chinsali JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 1,012 Reaction score 1,581 Nov 17, 2018 #4 Mademu wa kizamani hao ,demu wa sasa mnaendelea kuchati na akiamua kukupiga kizinga uchomoi.
vallentino86 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 533 Reaction score 215 Nov 18, 2018 #5 Ogopa sana sms kutoka kwa madem zikianza na "nikwambie kitu au "nikuombe kitu" yan ikibid uzime sim na kutoa betri.
Ogopa sana sms kutoka kwa madem zikianza na "nikwambie kitu au "nikuombe kitu" yan ikibid uzime sim na kutoa betri.
M Msukumakizazi JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 2,599 Reaction score 2,089 Nov 19, 2018 #6 vallentino86 said: Ogopa sana sms kutoka kwa madem zikianza na "nikwambie kitu au "nikuombe kitu" yan ikibid uzime sim na kutoa betri. Click to expand... mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri.
vallentino86 said: Ogopa sana sms kutoka kwa madem zikianza na "nikwambie kitu au "nikuombe kitu" yan ikibid uzime sim na kutoa betri. Click to expand... mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri.
S sokka11 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 534 Reaction score 183 Nov 23, 2018 #7 Msukumakizazi said: mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri. Click to expand... aaaaha unaweza kuikandamiza kwa bahati mbaya iakawaka bora utoe na betri kabisa
Msukumakizazi said: mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri. Click to expand... aaaaha unaweza kuikandamiza kwa bahati mbaya iakawaka bora utoe na betri kabisa
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Nov 23, 2018 #8 Msukumakizazi said: mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri. Click to expand... Hahahaaaa ukija washa utakumbana nayo2 hyo sms
Msukumakizazi said: mkuu kuzima inatosha, haina haja kutoa betri. Click to expand... Hahahaaaa ukija washa utakumbana nayo2 hyo sms
marko maluli Senior Member Joined Mar 14, 2015 Posts 164 Reaction score 49 Nov 27, 2018 #9 Ndivyo walivyo wezetu hapo alitaka ujiongezee umnunulie vocha wanawake nyie mungu anawaona
urbanthug Member Joined Nov 25, 2018 Posts 90 Reaction score 111 Nov 30, 2018 #10 Afu wanajihami ukiwasema wanakimbilia kujilinganisha na mama zetu shenzi kweliii