Wanawake na roho mbaya

Wanawake na roho mbaya

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,522
Nimecopy na ku paste.
*MAMA MKWE*

_Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya._

*MUME:* _Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kumtembelea?_

```Tafadhali andika orodha ya mahitaji kisha tuondoke.```

*MKE:* _Orodha ya vitu hivyo sio muhimu, tutanunua tu kabichi 2 na lita 2 za mafuta ya kupikia._

*MUME:* _Vitatosha kweli?_

*MKE:* _Ndiyo mpenzi, hakuna haja ya kupoteza pesa, vitatosha._

```Walielekea mjini na kununua kabichi 2 na lita 2 za mafuta ya kupikia. Wakati wakinunua mume alimuuliza mkewe tena kama vitu hivyo vingetosha.```

_Mke alisisitiza zaidi kuwa hawatakiwi kutumia pesa nyingi kwenye ziara ya kushtukiza._

```Walianza safari kuelekea kijijini, na walipofika kwenye eneo la njia panda yenye barabara zinazoelekea vijiji mbalimbali, mume alikata kona kuelekea kwao na mke.```

*MKE:* _(Kwa mshituko) tunaelekea wapi mpenzi? Nilidhani tunaenda kumtembelea mama yako._

*MUME:* _Ndiyo, ndiko tunakuelekea. Ni mama yako (mama yetu) ndiye anayeumwa._

*MKE:* _(kwa mshituko na kilio), lakini mahitaji haya hayatoshi. Turudi tuongeze vitu vingine._

*MUME:* _Hapana! Nilikuuliza tena na tena kama mahitaji hayo yanatosha, ukaniambia “NDIYO”. Hakuna kurudi….._

```FUNZO:```

```Wafanyie wenzako kile unachotaka ufanyiwe!!```

*Yes, usichopenda utendewe wewe usimtendee mwenzako.*

kwani kuna kiumbe chenye roho mbaya kuwazidi wanawake?
 
kauli yako mzuri....yawezekana mamamkwe naye alikuwa na roho pana...coz umesema wanawake wanaroho ngumu.....ila unapohukumu angalia coz hatawew ulishushwa na mwanamke pia..je na yey anaroho ngumu?
 
kwani roho nzuri inapimwa kwa kushusha tu mkuu? si tunawaona wanavyowachoma na visu vya moto watotowa wenzao,alafu juzi kati hapa hukusikia kuhusu yule mdada wa njombe alimuua mwanae wa miaka miwili kisa kapata mchumba ili aolewe
 
Tumekuelewa mwalimu wa Geography na language

Leo kweli mmetuamulia kila thread tunapondwa tu.tutakomaa
 
Nimecopy na ku paste.
*MAMA MKWE*

_Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya._

*MUME:* _Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kumtembelea?_

```Tafadhali andika orodha ya mahitaji kisha tuondoke.```

*MKE:* _Orodha ya vitu hivyo sio muhimu, tutanunua tu kabichi 2 na lita 2 za mafuta ya kupikia._

*MUME:* _Vitatosha kweli?_

*MKE:* _Ndiyo mpenzi, hakuna haja ya kupoteza pesa, vitatosha._

```Walielekea mjini na kununua kabichi 2 na lita 2 za mafuta ya kupikia. Wakati wakinunua mume alimuuliza mkewe tena kama vitu hivyo vingetosha.```

_Mke alisisitiza zaidi kuwa hawatakiwi kutumia pesa nyingi kwenye ziara ya kushtukiza._

```Walianza safari kuelekea kijijini, na walipofika kwenye eneo la njia panda yenye barabara zinazoelekea vijiji mbalimbali, mume alikata kona kuelekea kwao na mke.```

*MKE:* _(Kwa mshituko) tunaelekea wapi mpenzi? Nilidhani tunaenda kumtembelea mama yako._

*MUME:* _Ndiyo, ndiko tunakuelekea. Ni mama yako (mama yetu) ndiye anayeumwa._

*MKE:* _(kwa mshituko na kilio), lakini mahitaji haya hayatoshi. Turudi tuongeze vitu vingine._

*MUME:* _Hapana! Nilikuuliza tena na tena kama mahitaji hayo yanatosha, ukaniambia “NDIYO”. Hakuna kurudi….._

```FUNZO:```

```Wafanyie wenzako kile unachotaka ufanyiwe!!```

*Yes, usichopenda utendewe wewe usimtendee mwenzako.*

Mkuu utambe tu kua unaposema wanawake wana roho mbaya ujue kua unamaanisha mama yako, dada zako, shangazi zako, binamu zako, mke wako, mpenzi wako, rafiki zako wa kike, na watoto wako wa kike pia..
 
Nipe ushauri kwenye hii hadithi, mwanamke alibembeleza mume wamjengee mama wa mume, akaomba na nduguze mume wachangie, mabati, matofali, mbao na vifaa mbali mbali vya ujenzi, ndugu wale wakamjibu hiyo nyumba itakuwa ya nani, badae wakamsema mke kuwa anaringa kwakuwa kwao wanapesa anataka kuleta majivuno kwao, wakamtenga na kumdharau, baadaye mmoja wapo wa mawifi akataka mumewe amjengee mamaye, lkn huyu mume pia alitaka kujenga kwa mamiye kwanza kukawa na mtafaruku, Je lipi ni bora, wangejenga kwao na mke wa kaka yao ama kungoja mkwe ajenge? Si kila mwanamke anaroho mbaya, let's not exaggerate things.
 
kwani roho nzuri inapimwa kwa kushusha tu mkuu? si tunawaona wanavyowachoma na visu vya moto watotowa wenzao,alafu juzi kati hapa hukusikia kuhusu yule mdada wa njombe alimuua mwanae wa miaka miwili kisa kapata mchumba ili aolewe
Alimuua huyo mtoto kwa kuwa alizaa na baba ambaye hakuwa na mtazamo kama wewe.
 
Back
Top Bottom