Wadau hakuna kitu kinakera kama mtu mnakubaliana siku fulani na muda fulani mnaonana alafu yeye hatokei, unapiga simu hazipokelewi wala sms hazijibiwi!
Hivi wanawake huwa mnawazaga nini kupotezea watu muda, kama huna nia ya kuoanana na mtu why udanganye!!
Kuna wakati hii hali ilikuwa inanipa shida sana, ila siku hizi huwa siziweki hizi ahadi kichwani.. Demu akisema akinambia anakuja siku fulani hata siumizi kichwa kabisa, naendelea na ratiba zangu nyinginezo!!
Pole broh!Wadau hakuna kitu kinakera kama mtu mnakubaliana siku fulani na muda fulani mnaonana alafu yeye hatokei, unapiga simu hazipokelewi wala sms hazijibiwi!
Hivi wanawake huwa mnawazaga nini kupotezea watu muda, kama huna nia ya kuoanana na mtu why udanganye!!
Kuna wakati hii hali ilikuwa inanipa shida sana, ila siku hizi huwa siziweki hizi ahadi kichwani.. Demu akisema akinambia anakuja siku fulani hata siumizi kichwa kabisa, naendelea na ratiba zangu nyinginezo!!
Za kila mwezi eeena sie tuna ratiba zetu jamani
Ninazo za kutosha tu mkuu!!
Mkuu sijalalamika.. Soma vizuri.. siwezi lalamika kwa jambo dogo kama hili, huwa sivunji ratiba zangu completely, ikitoea huwa napotezea tu na kuendelea na mambo mengine..ungekuwa nazo za kutosha usngekuwa walalamika bwana
si uwafate mkuu au tuma tax?au nauli jua kali etiMkuu sijalalamika.. Soma vizuri.. siwezi lalamika kwa jambo dogo kama hili, huwa sivunji ratiba zangu completely, ikitoea huwa napotezea tu na kuendelea na mambo mengine..
Ila kipindi cha nyuma ilikuw ikinipa shida sana ila siyo sasa!!
Ha ha ha kupuyanga tena?si uwafate mkuu au tuma tax?au nauli jua kali eti
hivi na jua hili hapa dar kweli mtu upuyange toka mbagala unamfata mwanaume tegeta jamani? tuoneeni huruma sisi ni dhaifu wewe si umfate?
inamaana hamjuani ?Ha ha ha kupuyanga tena?
Sasa kama simu hapokei wala sms hajibu nitamfata na kumkuta wapi!?