Wanawake na matusi

Liss Liss

Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
37
Reaction score
2
Habari ba ndugu, wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama kuna maisha baada ya kutofautiana,, ikitokea wamepatana inabaki aibu tu na maombi ya msamaha mengi lakin unakua ushajitia doa,,ladies hata km umekosea tumia busara usitukane coz kuna maisha hata baada ya kuachana,, nc sun day guyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…