Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Hivi kwa nini watoto wa kike
wakisha zaa huwa hawaya thamini
matiti yao??? .. Jana hv wakati
nipo kwenye gari kuna dada
mmoja hv akatoa titi lake akawa
anamyonyesha mtoto wake .. Mi
nilikaa nae siti moja nikamwambia
dada ingekuwa vizuri ungemfunika
na baby show au hata na kanga
hizo sio vizuri maana sisi
wanaume tumeumbwa tofauti
wengine wakiona matiti tu hali
inakua mbaya afu wengine pia
tunaona kinyaa kuona maziwa
hayo mtoto anayonyonya .. Daah
basi yule mdada alinikataa jicho
hilooo Yani Obtuse angle kisha
akanipiga msonyo huuuuoo
sijawahi usikia .. Aah ilinibd
nishuke kituo kinachofuata ...
Eti wanawake jamani kwanini hamthamini matiti yenu baada ya kuzaa.
hee juzi kuna mtu kaja hapa "ooh wanawake hawanyonyeshi watoto wanalia hovyo kwenye daladala"
wewe unakuja na yako ooh hatuthamini matiti .....nyie watu hamna jema? hebu mtuwache tulale eboooh!!
Hivi kwa nini watoto wa kike
wakisha zaa huwa hawaya thamini
matiti yao??? .. Jana hv wakati
nipo kwenye gari kuna dada
mmoja hv akatoa titi lake akawa
anamyonyesha mtoto wake .. Mi
nilikaa nae siti moja nikamwambia
dada ingekuwa vizuri ungemfunika
na baby show au hata na kanga
hizo sio vizuri maana sisi
wanaume tumeumbwa tofauti
wengine wakiona matiti tu hali
inakua mbaya afu wengine pia
tunaona kinyaa kuona maziwa
hayo mtoto anayonyonya .. Daah
basi yule mdada alinikataa jicho
hilooo Yani Obtuse angle kisha
akanipiga msonyo huuuuoo
sijawahi usikia .. Aah ilinibd
nishuke kituo kinachofuata ...
Eti wanawake jamani kwanini hamthamini matiti yenu baada ya kuzaa.
Ulishukia wapi Hahaaaa....
Hahaha jf raha sana. Sasa wewe uliona kinyaa ama ulitamani unyonyeshwe?
Tabu iko wapi? Huo ndio utamaduni wetu waafrika kwa sehemu kubwa. Kwa tamaduni zingine bora akuonyeshe ndutu aka papuchi kuliko ziwa.
mkuu ulidinda wewe..!?? Bora ulishuka mapema..
Ujinga mtupu, asinyonyesha mtoto kisa tamaa zako za kishetani kupita maelezo, nyonyesheni watoto kila wanapohitaji kwa afya zao na zenu.
sijakataza kunyonyeshaa ila kuna nguo za kujistilii sio kila mtu haone vinyonyesheaa vyake.
ila si sahihi kunyonyesha mtoto bila kujisitiri,, ndo maana kuna bebishoo, funika .
Kuna mabinti wamejaaliwa.