Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,179
- 4,248
Huyu ndo wanataka wachukue mbegu zake?Nimekutana na stori wadada wawili.mmoja anamwambia mwenzake kwamba watafute hela wapate magari na majumba Kisha wakanunue mbegu za calisah yule mwanamitindo Kisha wapandikize wapate watoto vishombi shombi.kwa kweli huku ndipo tulipofikia na tunakokwenda.na wakishazaa watawaonyesha mapenzi ya dhati hao watoto kiasi kwamba hata wakiwadanganya kuwa baba zao walishakufa maisha yaendelee.wanawake mnapoteza kizazi chetu kwa hii michakato mnaoifanya ya kubadilisha shape, kubadilisha rangi na Sasa kuzaa bila baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina mambo