Ukimchekea nyani utaishia kuvuna mabua mkuu.kuchat na mtu sidhani kama kuna ubaya
Yaani sisi wanaume kama tunakutongoza hutaki ila kila niki kutumia text unajibu najua ipo siku utaachia tu....Kumkataa mtu siyo lazima umtukane yakupasa kutumia busara na hekima matusi kejeli kamwe siyo ustaarabu mbele ya jamii
kuchat na mtu sidhani kama kuna ubaya coz ndo mwanzo ww kufahamiana na mtu pia kujenga connection na watu mbalimbali
ishu ni kuwa na msimamo na kufahamu unataka nini maishani mwako (hii inategemea na tabia ya mtu mwenyewe )ni maoni yangu tuu[emoji6]
sio wewe tu wanaume wengi wapo hivyo ukichat nae tu anahisi unampenda sana.
Inategemea ntu na ntuYaani sisi wanaume kama tunakutongoza hutaki ila kila niki kutumia text unajibu najua ipo siku utaachia tu....
Kuna kamsemo aliniambia friend of mine ..nati ya train hata iwe gumu kiasi gani kama utakuwa unaigonga gonga na kijiko kila siku ipo siku itaregea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa kwa zama za sasa,Uaminifu ni kitu kigumu sana
Kabisasomething never happen.,
hapo ni sawa na kusema wanawake wasiwe na marafiki wa kiume, kitu ambacho sio sawa.
We kama akili yako inakutuma kutongoza kila girl unae chat naye basi jua tatizo ni wewe na sio yeye kukuchekea.... so kama unaona anakuweka katika vishawishi wewe ndio umblock
Kwanini asichat na wanawake wenzie? Hio tabia inaboa sana,,,tatizo labda huwajui wanawake na akili zao mkuu. Utaona km unamnyima uhuru ila mpe tu lazma atau misuse tu. Siku anakulilia ni shetani kampitia ndio utatia akili.something never happen.,
hapo ni sawa na kusema wanawake wasiwe na marafiki wa kiume, kitu ambacho sio sawa.
We kama akili yako inakutuma kutongoza kila girl unae chat naye basi jua tatizo ni wewe na sio yeye kukuchekea.... so kama unaona anakuweka katika vishawishi wewe ndio umblock
Emmy viti mamii na wewe unawachekea chekea nnAiseee. Kaazi kweli kweli.
Mdogo wako hata ata sina tabia hiyo, namshukuru m'mungu kwa kweli.Emmy viti mamii na wewe unawachekea chekea nn