Wanawake mungu anawaona!

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
Fikiri, Tafakari na Chambua kwa makini kisha nipe jibu, Wewe ulikua na mahusiano na msichana anaesoma na akapata mimba, Kisha Ukashtakiwa na Ukafungwa miaka 30, Ukatumikia na Kumaliza kifungo, Uliporudi Uraiani Ukaamua kwenda kumwangalia mtoto wako,
Yule dem ( mama mtoto wako) akakwambia kua hapa hauna mtoto, Mimi nilikusingizia ili tule RAHA na baba wa mtoto. Akakuonyesha baba yake mtoto[emoji738][emoji176][emoji176][emoji176][emoji171][emoji307][emoji307][emoji307][emoji178][emoji175][emoji177]

Je utachukua uamuzi gani?.

Umekaa jela kwa sababu ya mimba na mtoto unaambiwa sio wako[emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
usipokuwa makini hapo nakuiacha busara uchukue nafasi yake
basi miaka 30 mingine ya kwenda kuishi jela itakuhusu ..
nabila shaka utkuwa na nyota ya gereza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…