Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Sawa, unajua ndoto za wanawake pia? Ila tunaamua tu kusettle na nyie ili maisha yaende. Kwahiyo nasi ikitokea wa ndoto zetu akatokea wakati mmeshatuoa tunaomba mtuelewe tu haina haja ya marisasi na magunia ya mkaa.
Hahah daadek...mtaishia kujenga nyumba nje ya mji, gari na hela za kusomesha tuu!!
"Alisikika mama mmoja mwenye Sura personal"
khaaaaaa, hiyo paragraph ya mwisho kwahiyo sie wenye sura za baba tushakuwa mgambo
Wape heshima usiwaite walinzi wa nyumba. Sema sisi tunafuga ng'ombe nyumbani lakini tukipata hela tunaenda kutalii kuangalia twiga na nyati Serengeti
Sawa.
Na ndio maana wanawake siku hizi hawawataki nyie apeche alolo....