Wanawake mtuonee huruma sisi wanamume

Kama mshikaji ni kimeo basi ilitakiwa mwanamke aniweke wazi....mwanaume anayehudumia kwa uchungu hajui hayo na wala hajui kama unajua au hujui akikuta naye na amekufumania utapata balaa...still nawalaumu wanawake kwa hili
Yaani akuweke wazi wewe kama nani labda!!!
Kawaida yenu kulaumu wanawake kwa matatizo yenu so hamna jipya.
 
Mwanamke mpumbavu tuu huweza kufanya hayo. Mwanaume anakupenda pale unapopendeza, ukimpata wa kukufanya wengine wakuone we ni mzuriii mheshimu mnoo
 
Umemununulia vitu vingi hahahaha wanaume mtaelewa lini mwanamke ukimpa kila kitu hakupendi tena..haya mwingine huyu...
 

Ila kweli Papuchi nyingine tamu jamani!!! Kuziacha shughuli!!! Mwee!!![emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke mpumbavu tuu huweza kufanya hayo. Mwanaume anakupenda pale unapopendeza, ukimpata wa kukufanya wengine wakuone we ni mzuriii mheshimu mnoo
Mwanamke mzuri katika uzuri wake.

Sakayo habari za hasubui?

Nakutakia siku iliyo njema
 
Mwanamke mzuri katika uzuri wake.

Sakayo habari za hasubui?

Nakutakia siku iliyo njema
Habari ni nzuri mkuu, niomeiona tena jumatatu ingine kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu!!!! Naamini u Mzima pia.

Uwe na Jumatatu tulivu!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…