Wanawake mtuonee huruma sisi wanamume

Huyo jamaa yako nae sio, kwahiyo akimnunulia mpenzi wake vitu, siku wakiachana anavibeba!! Hizo ni zilipendwa. Ye akubali tu kuwa penzi limefika tamati na amove on, maana sio mahusiano yote huishia ndoa.
 
Daaaaaahhhhhhh Mzeee hii ni bonge la lecture! Thank you in an advance Bro
 
Hii dunia hii, sasa mkuu mama mkwe vipi maana ulitambulishwa [emoji38][emoji38]
 
Huyo jamaa yako nae sio, kwahiyo akimnunulia mpenzi wake vitu, siku wakiachana anavibeba!! Hizo ni zilipendwa. Ye akubali tu kuwa penzi limefika tamati na amove on, maana sio mahusiano yote huishia ndoa.
Vya dezo ndo tatizo,wanawake mnapenda ganda la ndizi alafu hamjuwi kutulia.Haiwezekani mwanaume ajitoe kukuhudumia kila kitu alafu umuache tu kirahisi
 
Dawa ya mwanamke yeyote yule ni mgegedo yaani ukigegeda vizuri hawa viumbe wanaheshima sana
Hata kama ana kimchepukomkwanja heshima yako ipo
Huyo mjeda hajielewi!mapenzi gani ya kijinga!

Shukuru umeropokea jf ungeruka vichura mpaka ukaribie kufanana na chura
 
Vya dezo ndo tatizo,wanawake mnapenda ganda la ndizi alafu hamjuwi kutulia.Haiwezekani mwanaume ajitoe kukuhudumia kila kitu alafu umuache tu kirahisi
Hata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
 
Sihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumu
 
Vijana wa kizazi hiki wengi ni wapuuzi sana sio wa kike sio wakiume.
 
Hata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
Unafurahisha sana.
 
Sihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumu
Tatizo huyo jamaa mwingine anaweza mharibu mwanaume mwenzake hata kumfumua tigo wakati jamaa hana kosa.....kwamba ukute hajui hata....ila akifumaniwa naye anaweza haribiwa hata kitundu cha manyoya ya kiume

Point ni kuwa tu makini na wadada wa namna hii
 
Hata wanaume wanapenda mtelezo. Kwahiyo akikuhudumia ndio guarantee ya kudumu nae? Una hakika gani maybe huyo jamaa ndio kimeo? Umesikiliza upande wa mwanamke?
Kama mshikaji ni kimeo basi ilitakiwa mwanamke aniweke wazi....mwanaume anayehudumia kwa uchungu hajui hayo na wala hajui kama unajua au hujui akikuta naye na amekufumania utapata balaa...still nawalaumu wanawake kwa hili
 
Sihukumu,lakini kwa picha ya nje tu huyu dada ni kimeo.Hivi unaleta vipi mwanaume home wakati una jamaa yako na anakuhudumia everything. Badilikeni wadada mnafanya hii tasnia ya mapenzi kuwa ngumu
Ooooooooh!!!! Kumbe yakiwakuta ndii mnaona hii tasnia ni ngumu!!!
Mapenzi ya watu hauyajui, waache wanajuana wenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…