Panapo kuja swala zito kama hili, inahitaji busara sana kuliko hasira aiseeee.....Huko ni kunikosea adabu.
Hakuna kitu kinaumiza kama kulea mtoto sio wako. Na pengine bado anaendela kuchepuka. Bora niwe mpweke kuliko kulea watoto sio wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee busara wakati inaibiwa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mungu anisamehe busara hizo saina kabisa. Yaani lazina ajute kunifahamuPanapo kuja swala zito kama hili, inahitaji busara sana kuliko hasira aiseeee.....
Sisi wanaume tulio pevuka, haya tunayajua sana
Mzee unapandikizwa humshilikishi mumeo ?????. Hapo mke aseme watoto wa nani!Wanawake bana miaka 20 ?? Siri daaahh.
Mwenye watoto?naye hajawah hata lopoka ???
Itakua alipandikizwa .....
Atulie tu!!... Mmama alitaka Maisha mazuri lkn bado aliwataka watoto...afanyaje?.
Okay....Mzee busara wakati inaibiwa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mungu anisamehe busara hizo saina kabisa. Yaani lazina ajute kunifahamu
Mzee umeto....mbewa miaka 20 bado uweke na busara tena.
Big noo mzee yaani hapo hao watoto wanondoka. Usikute jamaa kawasomesha hapo ndio maumivu zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakata misada yote mpaka mwanamke anambie imekuwaje hao Matoto. Yaliyopita sindwele tunaanza hapo tulipo.Okay....
Kwamfano kama ndio ingekua wewe, umefanyiwa mkeo na kisha unakuja kugundua ukweli after 20 good years kwamba hata hao wana hajatokea kwa kiuno yako, at the same time umewasomesha/kuwatibu/kuwalisha na kuwavisha kwa mwaka zote hizo...
Haya naomba uniambie, unge fanya aje..!!??
Basi sawaNakata misada yote mpaka mwanamke anambie imekuwaje hao Matoto. Yaliyopita sindwele tunaanza hapo tulipo.
Ila watoto ndio basi tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Daby haijaripotiwa huyo Bilionea alichukua hatua gani?Sawa sawa.
Kwa mzee baba bilionea amechukua maamuzi gani mtoa uzi kwa kushirikiana na Milard?
Nasubiri kaka..nitakupa taarifa.
Kimyakimya kivipi ss km hadi ww huku kivule taarifa imekufikia!Mwanamke kaamua kumsitiri jamaa yake kwa miaka 20 kwa kumzalia nje...
Jamaa inabidi hilo suala alimalize kimya kimya... sababu yeye ndiyo kwenye matatizo...
Cc: mahondaw