Wanawake mthamini muda, ukipita haurudi tena

Machendez kabisa, nimetafuta unapokaribia kula BIRIAN cjapaona.
 
Wakifika hapa kama hawaoni..!
 
Mwanaume mzma na chupa ya chai na vikombe viwili imekucmama
Mishipa ya shingo imekutoka unaambia wadada waolewe na dhambi ztawatafuna nani au kitabu gan kimeandka ukiolewa unaenda mbinguni moja kwa 1?
Ww ni nan uhukumu watu mmm
Unahisi dhambi ni uzinzi tu ziko kumi ukikosa moja ufalme wa Mungu umeukosa
Hao waume za watu kwann wasitulie na wake zao kutwa kucha kuhangaika na vbinti vya watu mmm
Jitulze ww kaka haya maisha yana mambo mengi
Unaaandka text mpaka mapovu yanakutoka maskni tulia
 
ndioo umeandika nn ss!mtoto wa mwenye nyumba kumbe ni mshauli nasaa wanaume wa mikoani bwana utawajua tu
 
Hivi unadhani wanawake wote wanpaswa kuolewa ? Wengine ni wapenzi watazamaji wa ndoa . wwngine wananusuru ndoa za wengine zisifariki hehehe
 
Tumekuelewa ila namna gani pale kwenye "taito"
Huu uzi utapata wasomaji na wachangiaji wengi kutokana na hio taito.
Lengo la kuweka taito ilikua ni kuwavutia watu wasome maana saikolojia ya vijana ishaharibika tayari kwa kupenda kusikuliza habari za biriani.
Hongera fanani umetumia ufundi wa sanaa kwenye kichwa cha habari ili uwanase hadhira kiulaini.
 
Watu wanataka kujua mambo ya mtu alivyonusurika kuliwa boga wewe unaleta ngonjera hapa
 
Huyu hajui hata alichokua anataka kutusimulia
 
Hapa nilitegemea kukuta kwasababu ya kukosekana kwa mafuta lainishi ukamkosakosa huyo mtoto!! Sasa umeanza tena hadithi kama mwalimu wa sociology
 
Mbona hakuna mahali inayoonyesha bado kidogo ule hiyo tigo ya binti wa baba mwenye nyumba...

Pole sana...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…