Anataka akupige chenga ya mwili nini?? Ukimjibu kazini mpaka saa kumi na yeye kwa kidumu mpaka saa kumi hahahaaaaa....!!!
Wengine huuliza hivyo ili ajue kitu gani anakufanyia saa ngapi na mambo yake na yeye ayafanye saa ngapi!! Mfano ni weekend unaenda job nusu siku anataka ukirudi home ukute kakuandalia maakuli maalum kwa mume....!!
Mengine ni hisia zetu tu za kiume......!!!