Wanawake Msiseme Mnaonewa, Njooni Muone Tofauti

Wanawake Msiseme Mnaonewa, Njooni Muone Tofauti

Hawapendi kusikia ukweli... wakiambiwa ukweli wanakimbilia kusema unataka kunichezea alafu uniache... wewe uwe unatoa tu lakini usiulizie kupewa... na ukipewa usihoji kwa nini ipo hivi... na ukihoji uridhike na jibu lolote atakalopenda yeye kukupa...
 
Wajibu wa mwanaume ni kumtimizia mwànamke mahitaji yote
Nani alitengeneza hiyo kanuni, wakati binadamu wote ni sawa na hakuna dhalili dhidi ya nwenzie?
Unasemaje kuhusu kaulimbiu ya 50/50?
 
Nimwite BABA kanizaa? Yake BABY koz nahakikisha nguo safi, anakula kwa wkt namnyonyesha mpk anafurahi etc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntaludi baadaye [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom