Wanawake Msiseme Mnaonewa, Njooni Muone Tofauti

Wanawake Msiseme Mnaonewa, Njooni Muone Tofauti

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Mwanaume anaekupenda inabidi ajitume kukidhi
mahitaji yako. Hela ya vocha upewe, uongee
umbea na mashosti. Hela ya saluni upewe,
ukachore nyusi na marker pen. Hela ya chakula
upewe, unenepe nguo zote zikubane. Vyote
akupe na asikudai kwasababu anakupenda. Mwanaume mwenye jukumu hilo anaitwa BABA
sio BABY. Usichanganye dawa hizo kama hutaki
kulalwa
 
Kweli mkuu,wanachanganyaga tui na maziwa,alafu wengi wao hawakushukuru kutoka mioyoni mwao wana asante za midomoni tu ili ummwagie neema zaidi.
Usiposhtuka watakuchuna mpaka uzeeke...
Kaa nao matu matu
 
Ndio nini sasa hiki wewe jamaa ?
Anamaanisha mtoa mada yupo hivyo. Sura nyingine na maumbile ya kiuhalisia. Nilikuwa nimehisi hivyo toka zamani. Wewe kila siku kuwararua wanawake kana kwamba hukuzaliwa na mwanamke au huna dada?
 
Anamaanisha mtoa mada yupo hivyo. Sura nyingine na maumbile ya kiuhalisia. Nilikuwa nimehisi hivyo toka zamani. Wewe kila siku kuwararua wanawake kana kwamba hukuzaliwa na mwanamke au huna dada?
Duu haya
 
Hivi kweli kuna mwanaume serious anafurahia kuitwa baby,..?
Mwanamke akiniita baby wala simgeukii...
 
Anamaanisha mtoa mada yupo hivyo. Sura nyingine na maumbile ya kiuhalisia. Nilikuwa nimehisi hivyo toka zamani. Wewe kila siku kuwararua wanawake kana kwamba hukuzaliwa na mwanamke au huna dada?
Mmmh! Kwa hiyo kwasababu alizaliwa na mwanamke haruhusiwi kuwazungumzia mabaya yao
 
Nimwite BABA kanizaa? Yake BABY koz nahakikisha nguo safi, anakula kwa wkt namnyonyesha mpk anafurahi etc
 
Back
Top Bottom