we dada tuheshimihane bhana mi nina hela ya kulisha wanawake wote tz ndan ya miez 2 nawa 3 nafirisika nb kipind namu mfuatilia alikuwa hanifaham vizur baada ya kupata story zangu kwamba jamaa nmb yake saiv anataka kuinunua crdb ndio hapo kapagawa
Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Kwani hujui kuwa hao ni viumbe ? kakutukana hivyo na kukufukuza lakini ikipita hata nusu saa akikuona na mwanamke mwingine ,valangati litaanza hapohapo.