Wanawake mpewe nini ati????


ndo hivo hawakosi visingizio..........we unatafuta 24/7 unatafuta kinini hiko kisichotafutika
 
Kweli mamy!!!!!
Kila kitu anasingizia kazi, mie hata uwe na mipesa kama huna mda nami kwakweli ni ngumu kuishi nawe!!!!!!!!
Tatizo hii dunia ime kuwa corrupt!!!
wa kweli niwachache sana!!!!
Ni kwa neema na rehema zake Mungu tuu tunapita yote!

SOMETIMES its not the money that we need
but the LOVE and AFFECTION...
someone to be there when u dearly want him around
 
hata kama uko busy ni vyema kutenga muda na familia

wengune busy 24/7 eti anatafuta pesa......na kuongeza kipato

kila kitu kipewe nafasi yake..........

Na wengine huo ubize huwa unasingiziwa tu. Kwani kama wewe ni mganyakazi say, kazi yako ni ileile haijabadilika na wakati mwingine hata muda wa kurudi unawezakuwa uleule ila tu haufanyi ulivokuwa unafanya hata kama unakuwepo hayo majukumu yamekuzuiaje?
 

nashangaa!!!!!!!
 
Tatizo lenu ninyi Wanaume tukiwapa yote na kupekuwa kila kona ndio tiketi ya kuondoka na unaenda kwingine unapekuwa hivyo hivyo unachotafuta ni nini?
Tulieni na sisi tutatulia Mapenzi hayataki Hela, Enzi za dahari hazikuwepo na tuliwapa watoto na bado wakawa katika UKOO wenu
Mpaka leo ni hivyo
 
Na nyinyi punguzeni adiction ya mitandao, kuna Dada mmoja hapa mahiri kweli wa kushauri mahusiano ila kuna siku nilimuuliza hivi ni saa ngapi unapractise haya unayoshauri? Akakosa jibu.

Kati ya wadada na wanaume nani anashinda mitandaoni zaidi? Tena na mnachokuwa mnafanya huko ushenzi mtupu.
 
yaaani wewe uliyepost huu uzi inaelekea mwanamke wako anakunyanyasa sana,ila ki ukweli mwanamke ukimwambia mambo ya ukweli huwa hataki kuamini yaani wanawake huwa wanapendwa kudanganywa tuu ukimwambia ukweli tu ndoa inakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…