Wanawake mnazingua hamueleweki,

namchukia mtu anayemtamka au kumhusisha mama wa mtu bila sababu...plz acheni kutukana wazazi ukizoea kutukana wazaz wa wenzako ipo siku utamtukana wako...i hate this habit.
kumuelwesha mpumbavu ni kazi sana ndio maan nimeamu nimpuuzie tu
 
Hapa huwa nakaaa kimya kabisa aiseeeeeee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Dah nimesoma huko juu eti unamweka anakuwa Backup Woman wakati umezinguana na girlfriend wako.....Aiseeee wanawake TUNALO.
 
Dah,kitu kimefika hadi kiwanja afu unaanza kutongoza tena,kweli na wewe hueleweki,..yaani hapo ni mwendo wa twende tukaongelee kwa huku ndani hapa nje watu wanatuchora,akikubali tu amekwisha,
 
Kama wewe unaeleweka iweje uhangaike na huyo mdada wakati ushasema una GF wako? Na GF wako akigundua una mwanamke unaye mmndea huoni kuwa atatuanzishia uzi mpya wenye kichwa cha habari WANAUME MNAZINGUA HAMUELEWEKI

hahahahaha
 
kuna binti m1 alianza kuwa rafiki yangu 2 wa kawaida cz alikuwa anamjua gf wangu nikaona nothng cras can hapen amont us so nikamfanya rafiki yangu wa kawaida 2,bt nikawa cmwelewi elewi kwa spid aliyokuwa anakuja nayo,mara aniite dia,mara darling hney na kila alichokuwa anafanya alikuwa ananiambia ucku .halal mpk anipigie cmu 2ongee atleast lisaa limoja na nusu najua kwa mwanamke kumuita mwanaume dia ni ki2 cha kawaida bt we were close enough kuliko hata lovers
basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"
jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,

umenena vema mwenye maskio na askie
 
Hoyaaaaaaaa naona UMESTAAFU KIUTENDAJI ILA UMEKUWA LECTURER katika kuwabrush hawa madogo??? Vibaya hivo, watamla hadi dada yako!! Wakila hawambakishii baba hawa!

Dada yangu hawamuwezi hawa, yaani kama goli la wazi anakosa atafunga la faulo,,, dada zangu wenyewe downtown na nimeshaozesha mmoja na nategemea kuozesha mwingine soon na hao waoaji wamejipanga hasa maana mdada wa mjini hadi umuingize geto lazima uwe umekamilika vigezo vyote ambayo madogo hawana hawa...
 
Uaminifu ni muhimu sana kwani wakati mwingine unakuta GF wako kamtuma rafiki yake akupime msimamo wako na imani yako kama wewe ni easy go.
 
Back
Top Bottom