Wanawake mnazingua hamueleweki,

Wanawake mnazingua hamueleweki,

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
Kuna binti m1 alianza kuwa rafiki yangu 2 wa kawaida cz alikuwa anamjua gf wangu nikaona nothng cras can hapen amont us so nikamfanya rafiki yangu wa kawaida 2,bt nikawa cmwelewi elewi kwa spid aliyokuwa anakuja nayo,mara aniite dia,mara darling hney na kila alichokuwa anafanya alikuwa ananiambia ucku .halal mpk anipigie cmu 2ongee atleast lisaa limoja na nusu najua kwa mwanamke kumuita mwanaume dia ni ki2 cha kawaida bt we were close enough kuliko hata lovers
Basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"
Jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,
 
Tatizo ulipanga kiwanja na akajaa na bado ukaanza kumtongoza, hapo ulirud nyuma bwa mdogo, ulitakiwa uunganishe matukio yaan kwa vitendo tu kama masikhara na uhakika angezega zuga but mwisho wa siku angekupa positive response mtu mzima ungekula mzigo bila zengwe na kumfanya back up demu wako akizingua
 
Bado hanapima maji toka kwako, ila ukweli ahauonea gere uhusiano wako na mpenzi wako.
 
Basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"

Jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,
.

Huu ni upoyoyo.
Si kila aliyechumbani yupo kitandani.
Si kila aliyekitandani amelala.
Si kila aliyesimama/kukaa na mwanamke na mpenzi wake.
Si kila Mwarabu ni Muislamu.
Si kila Mzungu ni Mkristo.
Si kila Mhaya ni malaya.
Don't Be stupid, Never ever Generalise Issue/Matters.
Utaumbuka.

Toka katika usingizi mzito uliolala, nawe utaiona njia.
Njia ipo miguuni Pako Mwenyewe.

Bazazi Nimesema!
 
Tatizo ulipanga kiwanja na akajaa na bado ukaanza kumtongoza, hapo ulirud nyuma bwa mdogo, ulitakiwa uunganishe matukio yaan kwa vitendo tu kama masikhara na uhakika angezega zuga but mwisho wa siku angekupa positive response mtu mzima ungekula mzigo bila zengwe na kumfanya back up demu wako akizingua

Hoyaaaaaaaa naona UMESTAAFU KIUTENDAJI ILA UMEKUWA LECTURER katika kuwabrush hawa madogo??? Vibaya hivo, watamla hadi dada yako!! Wakila hawambakishii baba hawa!
 
wanawake hatueleweki???? Mama yako je anaeleweka?
 
sikiliza kijana wanawake wa namna hiyo wapo na ni wazuri kwa kuwa side dish....unakuwa wajimegea huku unaye gf wako.....sasa hawa mara nyingi dawa yao ni moja tuu....dont show any emotions wewe nenda moja kwa moja kwenye ishu ya K...swali na msingi ni kupeana raha period. huna chochote chakupoteza akikukatalia na mara nyingi wanakuwa wanataka kuslip na the frend's man so mdebwedo
 
Kuna binti m1 alianza kuwa rafiki yangu 2 wa kawaida cz alikuwa anamjua gf wangu nikaona nothng cras can hapen amont us so nikamfanya rafiki yangu wa kawaida 2,bt nikawa cmwelewi elewi kwa spid aliyokuwa anakuja nayo,mara aniite dia,mara darling hney na kila alichokuwa anafanya alikuwa ananiambia ucku .halal mpk anipigie cmu 2ongee atleast lisaa limoja na nusu najua kwa mwanamke kumuita mwanaume dia ni ki2 cha kawaida bt we were close enough kuliko hata lovers
Basi bwana nikajua mtoto kanielewa na nisipomtia neno ataniona mimi boya bac nikapanga nae apointment fastafasta akachangamkia mpk. Kiwanja akachagua ile namtia neno 2 ful kushangaa hee ww unawezaje hvyo wkt unajua una gf wako aku mie ctak nikaona co ishu nikampotezea kama cku 3 nw anaanza tena "bby mbona umeni2pa cku hz"
Jamani mnataka nini mbona hamueleweki kama hauwezi kunidate basi ucwe close na mm sana na kuniita cjui dia b.by mnatupeperushia ndege we2 wengne naomba kuwasilisha,
Kama wewe unaeleweka iweje uhangaike na huyo mdada wakati ushasema una GF wako? Na GF wako akigundua una mwanamke unaye mmndea huoni kuwa atatuanzishia uzi mpya wenye kichwa cha habari WANAUME MNAZINGUA HAMUELEWEKI
 
wanawake hatueleweki???? Mama yako je anaeleweka?

namchukia mtu anayemtamka au kumhusisha mama wa mtu bila sababu...plz acheni kutukana wazazi ukizoea kutukana wazaz wa wenzako ipo siku utamtukana wako...i hate this habit.
 
wewe Mdengereko ndo hueleweki.kuitwa baby,dia,honey we ndo ukaona unatakwa?ushamba tu huo.
Bazazi kaongea kila kitu.usikurupuke ndugu utajiaibisha tu.
 
.

Huu ni upoyoyo.
Si kila aliyechumbani yupo kitandani.
Si kila aliyekitandani amelala.
Si kila aliyesimama/kukaa na mwanamke na mpenzi wake.
Si kila Mwarabu ni Muislamu.
Si kila Mzungu ni Mkristo.
Si kila Mhaya ni malaya.
Don't Be stupid, Never ever Generalise Issue/Matters.
Utaumbuka.

Toka katika usingizi mzito uliolala, nawe utaiona njia.
Njia ipo miguuni Pako Mwenyewe.

Bazazi Nimesema!

Ha ha ha,bazazi!
 
cio kla kng'aacho ni dhahabu kjana kuwa mwamnfu kwa mpenz wako may be alkuwa anakupma huwamnfu wako kwenye penz lako
 
Back
Top Bottom